Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-

  1. Zitto Kabwe
    • Naibu Katibu Mkuu.
    • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
    • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
    • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
    • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
    • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
    • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
    • Yupo focused.
    • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
    • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
    • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
    • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
    • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
    • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
    • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
    • Afisa wa Chama.
    • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
    • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
    • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.

  1. Ezekiel Wenje
    • Mbunge wa Nyamagana.
    • Ana uthubutu.
    • Yupo focused.
    • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.

  1. Habib Mchange.
    • Amebebwa na siasa za makundi sana.
    • Ana ushawishi sana kwa vijana.
    • Ana mikakati, yuko focused.
    • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
    • Ana uthubutu + anakubalika.
    • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.

  1. David Silinde.
    • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
    • Ana uthubutu

  1. John Mrema.
    • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
    • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
    • Yupo Strategic na focused.
    • Ana uthubutu.
    • Amebebwa sana na siasa za makundi.

Wengine ni:-

  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.

Huyo jamaa kwenye RED daaaaah,sijui tu kwanini walimbania kugombea ubunge lakini naamini ni mkali balaa,
umemsahau diwani mwingine,ingawa simfahamu vyema,naamini ni kijana machachari pia

View Profile: MsandoAlberto - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
 
VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-

  1. Zitto Kabwe
    • Naibu Katibu Mkuu.
    • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
    • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
    • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
    • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
    • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
    • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
    • Yupo focused.
    • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
    • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
    • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
    • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
    • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
    • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
    • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
    • Afisa wa Chama.
    • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
    • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
    • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.

  1. Ezekiel Wenje
    • Mbunge wa Nyamagana.
    • Ana uthubutu.
    • Yupo focused.
    • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.

  1. Habib Mchange.
    • Amebebwa na siasa za makundi sana.
    • Ana ushawishi sana kwa vijana.
    • Ana mikakati, yuko focused.
    • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
    • Ana uthubutu + anakubalika.
    • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.

  1. David Silinde.
    • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
    • Ana uthubutu

  1. John Mrema.
    • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
    • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
    • Yupo Strategic na focused.
    • Ana uthubutu.
    • Amebebwa sana na siasa za makundi.

Wengine ni:-

  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.

Mkuu ina Maana namba 7 mpaka 15 we huzijui
 
Mwingine huyu hapa

Fack Raphael
Rais wa Mkwawa (MUCE) 2007/08
-M/Kiti CDM wilaya ya Njombe
- Ameshiriki operesheni sangara Mkoa wa Mbeya
-Kiongozi wa timu ya watafiti wa Mkwawa kuhusu kukubalika kwa CDM Mbeya Vijijini kabla ya uchaguzi mdogo wa 2008
-Mjumbe wa Baraza kuu tangu September 2009
-Aliongoza ujumbe wa vijana kukataa mchezo mchafu uliofanywa wakati wa uchaguzi wa Bavicha. Pingamizi aliloandika liliwezesha kusimamishwa kwa zoezi zima la uchaguzi wa Bavicha
-Wengi wanaamini ndiye alikuwa mgombea sahihi wa jimbo lake la Njombe magharibi.
-Anakubalika kwa wananchi wa kawaida
Ana miaka 32, so ni kijana
 
wapo wengi ambao mchango wao ni mkubwa japokuwa sio viongozi ama hawajulikani sana...kumbuka hiyo ni merikebu na kila mtu anaplay part ktk section yake
 
Hujamtendea haki huyu

sugu+mjengoni.JPG

Wananiita Sugu,wananiita sugu!sugu!sugu!suguuuuuuuuuuuuu!
kila mtu anajua "sugu ni mtu wa mavurugu" linga baby kama unavyolingaga!lingaaaa.Hii ni sehemu ya vibao vyake labda ndo sababu hayumo katika top 15.
 
Mkuu umewasahau waliokesha siku kadhaa pale Ubungo, Kawe, Maswa, Mbeya, Iringa, na kwingineko ili kulinda kura za wabunge na Dr. Slaa dhidi ya wachakachuaji.
 
Kijana ni umri wa miaka mingapi mpaka ngapi?

Sisi UVCCM ukifika 31 wewe siyo kijana tena - UVCHADEMA je?

Tatizo la CCM wengi ni uvivu wa kusoma, hata katiba ya chama chako huijui itakuwa matatizo ya watanzania? Hivi Shigela, Beno na Riz1 hawajavuka miaka 31? Kama ndivyo basi kina Masauni wako wengi
 
Wabunge vijana wa chadema wanajitahidi sana.Pia wapo wadada akina Raya,Paulina wa babati viti Maalumu.2015 ccm itapata fedheha sana

Tuongeze nguvu na mikakati ya kutosha.
 
kijana, mimi ni mzee ama? hebu weka jina langu fasta. teh teh teh.
 
Hujamtendea haki huyu

sugu+mjengoni.JPG

Huenda hawamtaki na kwamba huenda amefanikiwa ki miungu tu na si nguvu ya kisiasa.hivyo wanahisi msimu ujao hataweza kuleta ushindani.pia huebda wameona hana elimu ya kutosha hivyo kuona kuwa hana umuhimu wa baadae. au labda nguvu wanazozitaja ni za kubeba magunia,lakini hata huko huyu naona ni zaidi ya wao.
 
VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-
  1. Zitto Kabwe
    • Naibu Katibu Mkuu.
    • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
    • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
    • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
    • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
    • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
    • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
    • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
    • Yupo focused.
    • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
    • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
    • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
    • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
    • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
    • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
    • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
    • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
    • Afisa wa Chama.
    • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
    • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
    • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
    • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.
  1. Ezekiel Wenje
    • Mbunge wa Nyamagana.
    • Ana uthubutu.
    • Yupo focused.
    • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.
  1. Habib Mchange.
    • Amebebwa na siasa za makundi sana.
    • Ana ushawishi sana kwa vijana.
    • Ana mikakati, yuko focused.
    • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
    • Ana uthubutu + anakubalika.
    • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.
  1. David Silinde.
    • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
    • Ana uthubutu
  1. John Mrema.
    • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
    • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
    • Yupo Strategic na focused.
    • Ana uthubutu.
    • Amebebwa sana na siasa za makundi.
Wengine ni:-
  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.
Vijana wangu wa cdm ninao waamini hawa hapa1.Mnyika2.Halima mdee3.Heche4.Paulina5.Kilewo6.Lema7.Nanyaro8.John mrema9.Gwakisa10.Nassari11.Dady igogo12.Regia mtema13.Ben saanane14.Zitto15.Kiwia17.Wenje18.Muhonga19.Chabulani20.SilindeHii ndiyo 20 bora yangu ya vijana wa cdm wanao aminika ndani ya chama na wanao kubalika nje ya chama na wanao jiamini na kujua wanachokisimamia na wanauthubutu na siyo waoga
 
hawa ni majimbo mengine ya uhakika 2015.hilo bunge litachimbika
 
hawa ni majimbo mengine ya uhakika 2015.hilo bunge litachimbika
Mkuu kama nawaona vile yaani pale pembeni kakaa1.Nassari2.Eche3.Kilewo4.Gwakisa5.Nanyaro6.Ben wa saanane7.Dady igogo8.ChagulaniHawa ni sura mpya za cdm ndani ya mjengoni 2015 ambazo ninaamini zitaingia kwa gharama yoyote ile kutokana na uthubutu wao
 
.
  1. Regia Mtema.
    • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
    • Aligombea jimbo la Kilombero.
    • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
    • Ni Afisa wa Chama.
    • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.
Huu ni unyanyapaa usio kuwa na sababu za msingi, naweza kuita ni ushenzi type.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom