Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

Simple Mathematics.. Sheria za Tanzania hairuhusu mtu kuwa na Uraia wa Inchi mbili. Labda unazungumzia Mtu kuwa na Green Card ya USA.. CANADA
 
Na Mimi.nina uraia.wa. uswisi.na tz.na. huuu utawala wa sasa ulivyo kuna mpango.wa kuukataaa utanzania hauna dili
 
Niuwachie tena, hivi tu niko bongo lakini inabidi ubalozi wanipigie simu kila mwezi kuniuliza kama nnashida yoyote. Niyaachie ma privilege kibao kisa nini? Kwani mie nilienda kucheza kule? Nilienda kutafuta maisha bora ambayo Nyerere alishindwa kunipa, na kweli nimefaidika, nashkuru AlhamduliLlah.

Wengi tu hapa wana uraia wa nchi za nje na si wa Tanzania tu. Sio kuwa hatuipendi nchi yetu, la hasha, ni maslahi. Hapa kwetu nani atakulipia nyumba, matibabu, mshahara, transport, kama huna kazi? Lakini leo si haba.
Kweli wewe NYERERE HUTAMSAHAU KABISA . HONGERA
 
Ndiyo maana siwaamini wanasiasa uchwara wote.

Wanatumia vijana wetu wakaandamane huko mitaani , viwanjani na barabarani kumbe wao kikinukaa kidogo tu huko mitaani unasikia tayari wapo zao USA, nchi za EU (Europe) au hapo KTN TV station kabisa.
 
Kule ulikoishi zaidi ya miaka 30 hukuuchangamkia uraia wa kule?
hahaha, unamaanisha kule alikoishi....afghanistan, iraq au saudia? manake huwa nahisi huyu dada (kama ni dada kweli) ana uraia wa ISIS.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Faiza aliwahi kuandika humu ameishi nchi mbali mbali duniani ikiwemo Uarabuni na Canada. Nadhani huu uraia aliokuwa anazungumzia hapa ni wa Canada.

hahaha, unamaanisha kule alikoishi....afghanistan, iraq au saudia? manake huwa nahisi huyu dada (kama ni dada kweli) ana uraia wa ISIS.
 
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA

wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list
Mbona bado hujamalizia orodha maana kuna mmoja ni pandikizi
 
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA

wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list
Dah, uzi wa kitambo sana, nilikuwa hata siijui jf.
 
Back
Top Bottom