Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

MVUA GAMBA

Senior Member
Apr 13, 2011
102
63
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA

wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list
 
Kama ni kweli wana uraia wa hizo nchi nyingine,basi ni lazima waukane uraia wa Tanzania kwasababu bado hatutambui uraia wa nchi mbili.(unless sheria iwe imepitishwa)

Hao wa USA inawezekana wana green card,na hivyo wanachotakiwa tu ni kufanya safari ya marekani at least once in a year and thew will be fine, wenye green card hawaruhusiwi kuishi nje ya marekani kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kurudi kwanza marekani...na ndiyo maana nasema inabidi wafanye safari ya marekani at least mara moja kwa mwaka..However, hilo haliwezi kuwaondolea uraia wa Tanzania.
 
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA

wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list
nafikiri mjomba utakuwa unachanganya uraia na ukazi ni vitu viwili tofauti ukazi siyo uraia wenyewe marekani wanaita permanet resident siyo uraia hata kura huwa hawaruhusiwi kupiga. kuhusu uchunguzi wako naamini CCM ilikwisha wafanyia uchunguzi hao wa upinzani na kama wangelikuwa wana uraia wa nchi mbili basi ungeshawasikia CCM muda mrefu wameshawashika mashati kwahiyo ukiona CCM iko kimya kuhusu uraia wa hao especially wa Upinzani basi ujue wako Clean. kuhusu nyalandu unaweza ku file kitu kinaitwa freedom of information kwenye ubalozi wao hiyo itawalazimisha ubalozi ku comply na kukwambia kuhusu uraia wa nyalandu km ni kweli ni raia wa USA basi sheria niliyokutajia inawabana kukujibu within 90 days ili ku comply na sheria.
 
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA

wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list

Mheshimiwa FaizaFoxy ana wa Tanganyika na Tanzania.
 
Kule ulikoishi zaidi ya miaka 30 hukuuchangamkia uraia wa kule?

Niuwachie tena, hivi tu niko bongo lakini inabidi ubalozi wanipigie simu kila mwezi kuniuliza kama nnashida yoyote. Niyaachie ma privilege kibao kisa nini? Kwani mie nilienda kucheza kule? Nilienda kutafuta maisha bora ambayo Nyerere alishindwa kunipa, na kweli nimefaidika, nashkuru AlhamduliLlah.

Wengi tu hapa wana uraia wa nchi za nje na si wa Tanzania tu. Sio kuwa hatuipendi nchi yetu, la hasha, ni maslahi. Hapa kwetu nani atakulipia nyumba, matibabu, mshahara, transport, kama huna kazi? Lakini leo si haba.
 
Kumbe eeh! Nilidhani ungelala usingizi na Utanzania wako :):)..."Aku Mwaya mie Mtanzania banaa kwanini niuchangamkie uraia wa nchi nyingine.... sitaki kuupoteza Utanzania wangu." :):)
 
Swali la Msingi? Je mjiulize ni kwa nini USA na Canada wanaruhusu uraia wa nchi mbili??. Je ni kwanini waruhusu uraia wa watu waliotoka kwenye nchi masikini kama Tanzania wakati USA tayari kuna watu million 300?. Sisi Tanzania na fikra za kimasikini na kishamba tunataka kufukuza wazawa wa Kitanzania kwa kuchukua uraia!!!! . Tanzania tunajiuliza kila siku je ni kwanini USA na Canada ni matajiri na majibu yako machoni kwetu! ni fikra za kimaskini na sheria za kikoloni!

Ghana, Nigeria, Togo n.k wana uraia wa nchi mbili wameona mbali
 
Umemsahau mshauri wa rais wa mambo yaburudani Ruge Mutahaba na ye an aurai wa nchi bili USA na Tanzania . Huyu Leticia Nyerere ana green card hana passport ya USA na baad aya kukimbialia USA ,kudai yeye ni Princess na kutishiwa maisha na TZ Royal fammily , Lazaro Nyarandu hana uraia wa Marekani labda awe na Green card ,atakuanaje nayo wakati alikimbia USA baada ya kuibua soo kubwa akawa ana tafutwa na FBI, kuridi TZ na ubunge juu, huyo labda awe na Greencard!
 
shemeji yangu LAWRENCE MASHA

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom