Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Vigogo wa Manispaa ya Ilala, akiwamo aliyekua Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,kupitia CCM, Mohamed Yakubu, wanapandishwa kizimbani kwa rushwa wakati wowote asubuhi hii katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyopo Lumumba.Kesi hiyo imefunguliwa na Takukuru, Dar es Salaam.