Vigogo Manispaa ya Ilala Kizimbani kwa Rushwa

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Vigogo wa Manispaa ya Ilala, akiwamo aliyekua Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,kupitia CCM, Mohamed Yakubu, wanapandishwa kizimbani kwa rushwa wakati wowote asubuhi hii katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyopo Lumumba.Kesi hiyo imefunguliwa na Takukuru, Dar es Salaam.
 
Kuwapandisha kizimbani sio tatizo wala hoja ya msingi.

Hoja ya msingi ni je wamejipanga kiasi gani kuithibitishia mahakama kwamba hao watuhumiwa walitenda kweli hayo makosa??

Nadhani takukuru katika kesi za vigogo hasa walioko serikalini hawana rekodi ya kushinda, wana rekodi ya kukosa ushahidi wa kumtia hatianbi mtuhumiwa.

Na sitoshangaa hizi kesi kuanzishwa kwa sababu za kisiasa, huenda wameshinikizwa kuwapandisha kizimbani ili kujaribu kuendelea na kampeni yao ya kuisifia ccm na takukuru wenyewe kwakuwa hata jana bungeni wameendelea kuwashiwa moto.
 
I hate these shows! I really do.. with a passion. Angalau kuna mlio wa sauti nzuri for few days.

Mwanakijiji sijakuelewa vizuri, kama unachukizwa na hizi show game, huo mlio wa sauti nzuri umeusikia wapi tena?? kwa hao hao takukuru ama kwa mkuu wa kaya??
 
Ushahidi wanakuwa nao lakini kama Mh. Tindu Lissu alivyorudia maneno ya 'weekleaks' bungeni, wameelekezwa wafanye tu hivyo ili angalau waTZ wawe na imani na PCCB
Kuwapandisha kizimbani sio tatizo wala hoja ya msingi.

Hoja ya msingi ni je wamejipanga kiasi gani kuithibitishia mahakama kwamba hao watuhumiwa walitenda kweli hayo makosa??

Nadhani takukuru katika kesi za vigogo hasa walioko serikalini hawana rekodi ya kushinda, wana rekodi ya kukosa ushahidi wa kumtia hatianbi mtuhumiwa.

Na sitoshangaa hizi kesi kuanzishwa kwa sababu za kisiasa, huenda wameshinikizwa kuwapandisha kizimbani ili kujaribu kuendelea na kampeni yao ya kuisifia ccm na takukuru wenyewe kwakuwa hata jana bungeni wameendelea kuwashiwa moto.
 
Mahakama yenyewe hiyo ni rushwa tupu naifahamu, hakuna chochote hapo

Vigogo wa Manispaa ya Ilala, akiwamo aliyekua Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,kupitia CCM, Mohamed Yakubu, wanapandishwa kizimbani kwa rushwa wakati wowote asubuhi hii katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyopo Lumumba.Kesi hiyo imefunguliwa na Takukuru, Dar es Salaam.
 
kiini macho kingine, ni lini chenge atafikishwa mahakamani na hawa mbwiga takukuru?
 
Bajeti ya Takukuru imesomwa jana. They are justifying kuwepo kwao.
 
Uko sahihi Heri lakini ni muhimu kuonyesha meno, hata kama ni katika kuhalalisha badala ya kulala usingizi na kupiga domo.
 
Tusiihukumu mahakama na si vizuri suala likiwa mahakamani kulijadili hapa.

Tuwape nafasi nasi tuwe wenye subra katika kupata maamuzi ya mahakama.
 
NI kweli tusubiri maamuzi ya mahakama, lakini napingana na kusema tusijadili. Acha watu wajadili maana JF ni mahali wazi na huru mradi tu usikiuke maadili, na pengine usijadili bila hoja. Kwa kifupi ukijadili bila hoja utajibiwa kwa hoja
 
takukuru watatoka vchwa chini kama kawaida......SIWASAHAU HAO
Vigogo wa Manispaa ya Ilala, akiwamo aliyekua Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,kupitia CCM, Mohamed Yakubu, wanapandishwa kizimbani kwa rushwa wakati wowote asubuhi hii katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyopo Lumumba.Kesi hiyo imefunguliwa na Takukuru, Dar es Salaam.
 
Tusiihukumu mahakama na si vizuri suala likiwa mahakamani kulijadili hapa.

Tuwape nafasi nasi tuwe wenye subra katika kupata maamuzi ya mahakama.

Masuala yote yanayomgusa Mtanzania yako mahakamani, kwa njia moja au nyingine, uhuru wetu wa kuongea una maana tumenyang'anywa. Hii ni falsafa ya Spika Anne ambayo ni mfumo kale wa kudumaza uhuru wa kuongea.

Kama mahakama haifanyi kazi yake kukidhi matakwa na mategemeo ya wananchi lazima isemwe tu
 
Back
Top Bottom