Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,463
- 16,410
Na hiki kifurushi cha 10Mbps kwa 70K ambacho kinapatikana kwenye Retail category hawawezi kukiondoa kirahisi rahisi kwani watu wote walioungwa walisaini mkataba na Airtel.
Kukiterminate bila mkataba mpya italeta legal implications, imagine wakikiondoa kinyemela then watu wakaenda mahakamani pesa itakayowatoka ni kiasi gani?
So kamwe hawawezi fanya huo ujinga hata kidogo..