Michango ya mawazo wa waliohudhuria kongamano hili lililoratibiwa na Prof. Issa Shivji, Ndg.Jenerali Ulimwengu na Dr. Kitila Mkumbo ktk Ukumbi wa Nkrumah. Video kwa hisani ya Jamvini wa Youtube.
Kwani nilazima avae uniform ya chama chake hata ktk kongomano la Katiba ya Watz? ukereketwa wa chama unamahala pake jamani! hata hivyo Mnyika ametoa mawazo yake na huenda yuko sawa ila msaada wa Wanasheria waliobobea kama Isa Shivji ktk kongomano hilo tunaomba mwenye video yao kama ipo!
Afadhali kuvunjwa vyama vyote vya siasa; vitasajiliwa mara baada ya katiba mpya. Ili kuweza kujenga maadili yasiyojali maslahi ya vyama vya siasa bali yanayojali maslahi ya watanzania wote
Afadhali kuvunjwa vyama vyote vya siasa; vitasajiliwa mara baada ya katiba mpya. Ili kuweza kujenga maadili yasiyojali maslahi ya vyama vya siasa bali yanayojali maslahi ya watanzania wote
This Great Discussion. I Think This Route is So Important and As We See People are Hungry for New Constitution. Majority of Tanzanians Now Know We Can Solve Our Problems Without New Constitution. Let's the Work Start...
Huyo mama amenisikitisha sana..
Serious issues, yeye anachekacheka tuu, wala hana concentration yoyote wakati Jenerali anampa facts. This is pathetic.
Hivi wanatumia vigezo gani kuteua hawa viumbe??..
Niambieni tu waTz wenzangu..I'm really confused here!!
wewe ulikua unategemea mama celina atafanya nini?huyo mama hiyo nafasi wamemtoa kafara,awe makini watanzania wanataka katiba na longolongo na kucheka cheka kwa kombani kisa amekaa na prof.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.