VIDEO YA KONGAMANO LA KATIBA CHUO KIKUU MLIMANI Dar-es-Salaam

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,038
23,829
Michango ya mawazo wa waliohudhuria kongamano hili lililoratibiwa na Prof. Issa Shivji, Ndg.Jenerali Ulimwengu na Dr. Kitila Mkumbo ktk Ukumbi wa Nkrumah. Video kwa hisani ya Jamvini wa Youtube.
 
Last edited by a moderator:
Kwani nilazima avae uniform ya chama chake hata ktk kongomano la Katiba ya Watz? ukereketwa wa chama unamahala pake jamani! hata hivyo Mnyika ametoa mawazo yake na huenda yuko sawa ila msaada wa Wanasheria waliobobea kama Isa Shivji ktk kongomano hilo tunaomba mwenye video yao kama ipo!
 
Afadhali kuvunjwa vyama vyote vya siasa; vitasajiliwa mara baada ya katiba mpya. Ili kuweza kujenga maadili yasiyojali maslahi ya vyama vya siasa bali yanayojali maslahi ya watanzania wote
 
Afadhali kuvunjwa vyama vyote vya siasa; vitasajiliwa mara baada ya katiba mpya. Ili kuweza kujenga maadili yasiyojali maslahi ya vyama vya siasa bali yanayojali maslahi ya watanzania wote

Hili nalo neno! Ukianza na chama tawala, vyama vyote usanii mtupu. Itabidi hii hoja tuijenga barabara.
 
mkuu hii clip ina akili anayotabiri mnyika yanaweza tokea tena kama utani tuu.Big Up mkuuu
 
This Great Discussion. I Think This Route is So Important and As We See People are Hungry for New Constitution. Majority of Tanzanians Now Know We Can Solve Our Problems Without New Constitution. Let's the Work Start...
 
Huyo mama amenisikitisha sana..
Serious issues, yeye anachekacheka tuu, wala hana concentration yoyote wakati Jenerali anampa facts. This is pathetic.
Hivi wanatumia vigezo gani kuteua hawa viumbe??..
Niambieni tu waTz wenzangu..I'm really confused here!!
 
wewe ulikua unategemea mama celina atafanya nini?huyo mama hiyo nafasi wamemtoa kafara,awe makini watanzania wanataka katiba na longolongo na kucheka cheka kwa kombani kisa amekaa na prof.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom