Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Optimists

JF-Expert Member
Oct 17, 2021
278
686
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.

Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.

Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.

Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.

Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k

Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
 
Attachments

  • instagram_video.mp4
    16.2 MB
Yaani Mimi sijashangaa Sana hicho kitu..sema huyu suala lake linavuma saiv kutokana na kesi yake polisi lakini wachungaji na manabii wengi wanafanya uogo na vituko vingi.

Ukikaa ukijiuza hivi waumini Ni shida ya akili au desperate ya maisha au wametupiwa nguvu fulani wasione etc.....mtu na akili yako timamu unaweza kwenda kusali hata kwa nabii billionaire shillah kweli...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule shilla na mwingine wakuitwa prophetdavid jamani inasikitisha sana wanafanya uhuni na kutapakanywa pesa za sadaka ila bado huwezi waambie kitu waumini wao!
IMG_0506.jpg
 
Yaani Mimi sijashangaa Sana hicho kitu..sema huyu suala lake linavuma saiv kutokana na kesi yake polisi lakini wachungaji na manabii wengi wanafanya uogo na vituko vingi. Ukikaa ukijiuza hivi waumini Ni shida ya akili au desperate ya maisha au wametupiwa nguvu fulani wasione etc.....mtu na akili yako timamu unaweza kwenda kusali hata kwa nabii billionaire shillah kweli...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kweli Mkuu, vutuko vingi mpaka unajiuliza imekaaje hii? Fungulia channel zao ujionee vituko na ushuhuda aisee
 
Yaani Mimi sijashangaa Sana hicho kitu..sema huyu suala lake linavuma saiv kutokana na kesi yake polisi lakini wachungaji na manabii wengi wanafanya uogo na vituko vingi. Ukikaa ukijiuza hivi waumini Ni shida ya akili au desperate ya maisha au wametupiwa nguvu fulani wasione etc.....mtu na akili yako timamu unaweza kwenda kusali hata kwa nabii billionaire shillah kweli...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Nisaidie kuuliza mkuu! Inasikitisha! Natamani iwekwe sheria kali ya kuzuia haya makanisa uchwara
 
Dah kumbe Michael Jackson kiswahili kinapanda! maana naona Mfalme Zumaridi anamshukuru kwa kiswahili wakati Michael Jackson anaondoka...

na kumbe Michael Jackson alikuwa mtumishi wa Mungu....Dah....sasa naweza kuamini yale niliyokuwa nikiambia...."kuwa uyaone ya dunia"
 
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.

Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.

Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.

Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.

Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k

Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Ila Zumaridi kwakweli sema hamkuelewa yeye anafanya comedy sema ndo hamjaelewa
 
Back
Top Bottom