VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

Hali ni mbaya sana. Mungu atunusuru. Lakini hili wimbi la wahindi, waarabu kujificha ccm tunalichukuliaje?

Hapa ndio penye tatizo la CCM,hakika wakitatua tatizo hili nina imani wananchi watawapokea kuwa wameludisha chama kwa wenyewe.
 
All in all huwezi kataa au kubali!! CCM are capable of doing anything under the sun!!! For a video posted on youtube could mean anything, it is an "amateur video" Nio one can authenticate!!!!
 
Awali walikanusha kuwepo kambi, singida.Evidence zmeletwa,wanakubali kuna kambi.Mwigulu sema sasa watu wakuelewe,hao vijana unaosema wametoka igunga,je huyo ni wa igunga?
 
Riz One .............ehee Riz One .........................Ongea na Mshua ...............Igunga Noma Kimeshasanuka

Ehe Ehe Riz one Ohooooooo OHOOOOOOOOOO Riz One
 
Hizi clips, zitamsaidia sana ocampo,Chadema zitunzeni.coz anytime t kitanuka na ocampo atahitaji wakumwajibisha.
 
Namwuliza mzee Mkapa,huu ndio upuuzi anaoufagilia? Nakubaliana naye,kweli CCM itashinda kwa umafia huu.CHADEMA ni wanyonge hawataweza,ila waendelee kuwambia wananchi na mataifa,hao ndio wanaoweza kuchukua hatua
 
Shuhudia mwenyewe video hii

http://www.youtube.com/v/aQQdjIon93U?version=3"><param

Mwigulu akiri kuna kambi

KATIKA hali inayoonyesha Chama cha Mapinduzi (CCM) kinafanya kampeni za kijasusi katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kimekiri kuwa kimewaweka kambini vijana 386 kwa ajili ya kupata “mafunzo maalumu.”

“Wanadai tumeandaa kambi zaidi ya moja, si kweli, tunayo kambi moja kule Ulemo. Mbona wao CHADEMA wameamua kuwaleta mawakala wa kuhesabu kura kutoka vyuo vikuu? Sisi tukasema hapana, tutawatumia vijana wa Igunga, tukapita kwenye vijiji vyote 96 tukawachukua vijana wanne kila kijiji".

Alisema vijana hao wamekusanywa kutoka vijiji 96 vya jimbo hilo. Kambi hiyo ya vijana imewekwa katika eneo la Ulemo, wilayani Iramba. CHADEMA inadai lengo la CCM ni kuwapa mafunzo ya kigaidi kwa ajili ya kuiba kura na kuanzisha vurugu siku ya uchaguzi.
Gazeti hili limepata habari kwamba kambi hiyo ya wiki moja, ilifungwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Martin Shigella, wiki iliyopita, Septemba 9, mwaka huu, na itafanyika tena wiki moja kabla ya uchaguzi.

(Tanzania Daima)

Watakuja kusema hapa huyo kijana anatafuta umaarufu
 
Hii imetengenezwa,zengwe hilo.Huyo jamaa ni cdm damu na anaeneza uzushi!!Jamani tuache mambo ya ushabiki haya mambo yanayoonekana hayapendwi au kuonekana yanatisha kumbe baadhi ya watu ndiyo wanayapenda hii ni hatari
 
Mwigulu anaposema wana kambi moja tu na si zaidi ana maana gani mbona kabla hata hiyo moja alikanusha, CCM wanashindwa kusoma alama za nyakati hizi si zama za RTD kuwa watu watasubiri watangaziwe na mkuu wa mkoa au wa wilaya ili waamini sources ni nyingi kinachohitajika ni kubadilika, kama unaona sehemu hutakiwi kaa chini tafuta solution usilazimishe kupendwa matokeo yake ndiyo haya tunaona ya kumwagiana tindikali kugombea pesa za kampeni.
 
Hii imetengenezwa,zengwe hilo.Huyo jamaa ni cdm damu na anaeneza uzushi!!Jamani tuache mambo ya ushabiki haya mambo yanayoonekana hayapendwi au kuonekana yanatisha kumbe baadhi ya watu ndiyo wanayapenda hii ni hatari
Kila kitu kinatengenezwa hata wewe ulitengenezwa na Mungu kama imetengenezwa je anayosema kuhusu kambi nayo huyaamini? maana mtengeneza kambi mwenyewe Mwigulu amekiri.
 
CHADEMA TV..(CTV)..Jamani kwa nini wasiiweke hewani??? Mimi niko Tayari Kuichangia. Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
 
Hii imetengenezwa,zengwe hilo.Huyo jamaa ni cdm damu na anaeneza uzushi!!Jamani tuache mambo ya ushabiki haya mambo yanayoonekana hayapendwi au kuonekana yanatisha kumbe baadhi ya watu ndiyo wanayapenda hii ni hatari
Hebu uwe unafikiri kabla hujaongea,amekuonyesha kadi ya CCM,amekwambia alikua kambini physically,angekua wa chadema huko ktk kambi ya ccm anafanya nini,na ccm wangemwita wanini.Labda ccm waje hapa wakanushe kwamba kijana huyo hakuwepo kambini,na umesikia anahojiwa kutokea singida na amekwenda onyesha mahali walipofanyia kambi
 
Wamemsumbua Nape kijana wa watu kuzungumuzia MAGAMBA na mmojawapo wa magamba yuko kwenye kampeni. Watanzania tukiamua tunabadilisha nchi hii bila hata kumwaga damu. Tuanze maandamano wengine watokee bunju, wengine kimara, wengine kila kona nci nzima uone kama hatuchukui nchi
 
Ni vizuri Ocampo ajulishwe kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Hii tabia ya kutumia vijana kuleta vurugu kwa maslahi ya kisiasa ni sugu kwa Africa, cha ajabu ccm pamoja na kuwa na viongozi vijana bado wanatumia hizi mbinu chafu za kizee kuendesha siasa. Ocampo Ocampo.
Ndiyo mkuu hizi ni chembe chembe za ushahidi wa umwagaji damu. Tuanzie hapa tufanye uchunguzi tuwape the Hague mapema.
 
Hii imetengenezwa,zengwe hilo.Huyo jamaa ni cdm damu na anaeneza uzushi!!Jamani tuache mambo ya ushabiki haya mambo yanayoonekana hayapendwi au kuonekana yanatisha kumbe baadhi ya watu ndiyo wanayapenda hii ni hatari
vip na ile kadi ya cham anayoonesha imefojiwa au???wwe ndo mshabiki ssa
 
Back
Top Bottom