kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,143
CHADEMA ni wazushi sana. Wanafanya kazi ya kutunga uongoHiii so muda inawapeleka hospital
mwaka huu polisi wataomba pooBURN! BURN BURN!*2...BURN MOSCOW!...Aliyeelewa hayo maandishi anitafsirie.
hahahahahahahahhaahCHADEMA ni wazushi sana. Wanafanya kazi ya kutunga uongo
wewe mzibua choo wa lumumba unasema nini? unajua ninyi watoto mlio zaliwa kipindi cha mikesha ya mwenge mnamatatizo sana,,,CHADEMA ni wazushi sana. Wanafanya kazi ya kutunga uongo
Msishabikie tu mambo msiyoyajuaLAZIMA WACHAPIKE HAWA MAPOLICCM
Huo muda upo? achana na Umma na nguvu yake.mwaka huu polisi wataomba poo
Nyinyi polisi wakimbiza mwenge njooni huku mutukamate.LAZIMA WACHAPIKE HAWA MAPOLICCM
Acha nishabikie kwani nawachukia sana policcmMsishabikie tu mambo msiyoyajua
Mkuu, kwa kawaida huwa sipendi kulumbana na watu wasio na akili. Nimewaambia kuwa mnapotunga uongo lazima uendane na ukweli. Hapa mmebugi sana. Tangu lini Trafick akawa amevaa mavazi meupe na kofia nyeusi? Hahahahahaaaawewe mzibua choo wa lumumba unasema nini? unajua ninyi watoto mlio zaliwa kipindi cha mikesha ya mwenge mnamatatizo sana,,,
huku hakamatwi mtu huku ni mbio kwa mbioNyinyi polisi wakimbiza mwenge njooni huku mutukamate.
Mkuu, hawa ni wapuuzi na kazi yetu ni kuwapuuzaTeh Teh basi wambie watu ni wapi hapo na lini? Halafu hizo kofia nyeusi ni za Trafic? Teh Teh...