Israel yupo sahihi kabisa kutembeza kichapo hadi Hamas iwe na adabu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,198
Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana

Ukiangalia hii video baada ya Hamas kuuwa Waisrael 1400, Walivyochukua mateka tu baada ya kuwaingiza Palestina angalia hadi wapalestina wanawapiga makofi na marungu hao mateka

View: https://youtu.be/RMejmg2T6z8?feature=shared

Israel kaanza kutembeza kichapo now anaambiwa anauwa wanawake na watoto, kwani Hamas walipovamia Israel walichagua wa kuuwa?

Israel iendelee kutembeza kichapo hadi siku Gaidi lijifikirie mara mbili mbili kuivamia Israel kwa mara nyingine tena
 
Mpaka sasa mateka hawajapatikana wa Israel, na Hamas hawajafutika katika uso wa ardhi ya Palestine.
 
Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana

Ukiangalia hii video baada ya Hamas kuuwa Waisrael 1400, Walivyochukua mateka tu baada ya kuwaingiza Palestina angalia hadi wapalestina wanawapiga makofi na marungu hao mateka

View: https://youtu.be/RMejmg2T6z8?feature=shared

Israel kaanza kutembeza kichapo now anaambiwa anauwa wanawake na watoto, kwani Hamas walipovamia Israel walichagua wa kuuwa?

Israel iendelee kutembeza kichapo hadi siku Gaidi lijifikirie mara mbili mbili kuivamia Israel kwa mara nyingine tena

Generalization hutokana na kuwa elimu duni. Kumbe hata DRC, Ukraine nk tatizo ni hao uliowataja?

Siyo makosa yako ndugu. Unaaomeka vyema.
 
Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana
Fujo gani wakati wanapigania uhuru wao? Matatizo ya Palestina na Israel hayajaanza October 7 na hayatoisha baada ya vita maana uhuru bado haujapatikana.

Vita itaendelea tena na tena mpaka uhuru upatikane so tutegemee vifo vya wasio na hatia
 
Back
Top Bottom