Video: Polisi achezea kichapo

BURN! BURN BURN!*2...BURN MOSCOW!...Aliyeelewa hayo maandishi anitafsirie.
 
wewe mzibua choo wa lumumba unasema nini? unajua ninyi watoto mlio zaliwa kipindi cha mikesha ya mwenge mnamatatizo sana,,,
Mkuu, kwa kawaida huwa sipendi kulumbana na watu wasio na akili. Nimewaambia kuwa mnapotunga uongo lazima uendane na ukweli. Hapa mmebugi sana. Tangu lini Trafick akawa amevaa mavazi meupe na kofia nyeusi? Hahahahahaaaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom