Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

Pasco
Umesema kweli - fedha hakupokea hata kidogo.
Tatizo Jerry anakana kumfahamu huyo Mhasibu wa Bagamoyo wakati kuna ushahidi wa Jerry kufahamiana naye. Sasa uvumi unasema, Jerry alikuwa na wenzake waliokuwa wanajifanya polisi na PCCB ili wajifanye kumkamata na kumtia pingu ili awape fedha waliyohitaji. Na kuna mengi zaidi kwenye trails za Jerry maana amekuwa anaacha DNA kibao katika mapito yake. MTC watamkimbia muda si mrefu wakiishajua ukweli wa suala hili.
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.
Pasco,

Polisi wakitaka kukufix, wanaweza kukutengenezea makosa usonayo hadi wafanikiwe. Hujaona wasela kibao wanasingiziwa kukutwa na bangi wakati hata mmea hawaujui.

Don't trust these guys, just obey your instincts. Na mojapo ya instict ni kuwa, WHY NOW? tena na hao hao polisi?
 
avatar yako na jina lako vimenifurahisha mmmmh...janjaweed!

Yes mkuu, tumuenzi JOhn Garang... one of the most intelligent leader who (like a few others) felt into Museven tricks

Read his book, utafurahi
 
Kwa mtu yeyote aliye matured, leo haikuwa siku sahihi ya Jerry kuongea. Busara za kawaida kabisa zinaniambia alitakiwa kutulia na kuacha kila mtu aongee analotaka kusema.

Kuongea ukiwa na jazba inakufanya mtu utoe pumba bila kutarajia. Wala nisingemshauri kuitisha press conference yoyote. Hakuwa na sababu ya leo kwenda studio na kuongea akiwa bado na presha kwenye usiku wa habari.

He needs grown up mind around him.
wanasema time heals and the best approach to any state press release is to remain silent
 
Kuna sehemu niliuliza umri wake! Utoto utamweka pabaya. Mlio karibu naye msisitizie kabisa asiendelee kutoa singles, adui zake kama wapo anawapa mbinu za kummaliza, akumbuke usemi wa Kisukuma "Speech is Silver and Silence is Gold" he should go for Gold!
 
Pamoja na ukweli kwamba POLISI yetu hapa Bongo ni ya kibabaishaji kiaina, napata shaka pia kuhusu integrity ya mpiganaji wetu, maana anatupa maswali mengi yasiyo na majibu. Inawezekana tunahoji sana, lakini ukweli huenda utajulikana siku moja. Tunaamini kuwa haki itatendeka.
 
Its making me sick... sasa kwenda global publisher kufanya nini??
 
Inaelekea walitaka "Kumbambikiza" lakini wakaghairisha mwishoni kutokana na sababu flani ambayo hatuijui,hata hivyo kwasababu wanajua ana vitu kadhaa wa kadha,then hiyo ndo njia ya kumaliza mchezo,hakuna kitu hapa,sasa kwasababu walijua ana hiki na kile ie pingu na bastola,basi hiyo ndiyo exit strategy,issue iko complicated lakini ni malizable.
Jerry atawageuka hakuna cha kusema eti anaongea kwa jazba....Ngoma ni either polisi waimalize kiutu uzima ama kinawageuka,period.
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.

Huyo jamaa aliyeacha miwani yake nyeusi alikuwa kwenye uchunguzi/mtego wa rushwa dhidi ya Jerry ama ni uchunguzi wa umiliki wake wa pingu na bastola?
Maana sasa tunashindwa kuelewa ni kwanini uchunguzi wa rushwa ghafla umekuwa uchunguzi wa pingu.
 
Inaelekea walitaka "Kumbambikiza" lakini wakaghairisha mwishoni kutokana na sababu flani ambayo hatuijui,hata hivyo kwasababu wanajua ana vitu kadhaa wa kadha,then hiyo ndo njia ya kumaliza mchezo,hakuna kitu hapa,sasa kwasababu walijua ana hiki na kile ie pingu na bastola,basi hiyo ndiyo exit strategy,issue iko complicated lakini ni malizable.
Jerry atawageuka hakuna cha kusema eti anaongea kwa jazba....Ngoma ni either polisi waimalize kiutu uzima ama kinawageuka,period.

Pingu alikuwa nayo ya nini? Kisheria, Kukwepa kosa moja hakuhalalishi kosa lingine ulilotenda four years ago. Kosa ni kosa bila kujali lilitendwa lini na wapi na kwa namna gani. Bado yumo ndani ya nyavu ya kipolisi. Aseme pingu ni ya nini na si kujenga hoja kwa jazba. Kitakacho weza mwokoa ni outcry ya public kutokana na mchezo mchafu wa Kipolisi walitaka kumtega.
 
Ni kweli JM inabidi awe na saburi katika jipindi hiki kigumu kama wana JF walivyomshauri. JM ni kweli kuwa makini kwani wewe sasa ni HABARI unauza MAGAZETI hivyo utanukuliwa mpaka nukta. Japo ameelezea sakata zima "kishikaji" sana kiasi baadhi ya "Great Thinkers" wameingiwa na shaka naona kuna mantiki kubwa katika kauli zake kulingana na sakata lenyewe linavyoendelea.

Naona kuna mambo mengi hatujayajua kwani press conference ya KOVA imekaa kimipasho pasho haijatulia. Kwa upande mwingine JM nae anaongea kwa kujiachia akionyesha kuna mambo kati yake na KOVA wanafahamiana. Hivyo napata maswali mengi kuliko majibu. Sakata zima linavaa taswira ya msuguano kati ya watu wawili, KOVA na JM. Kwa maneno mengine too personal.

Hivi iweje KOVA ashindwe kusema wazi wazi kama JM ana kesi ya kujibu au la ikizingatiwa amelala usiku kucha akitafakari halafu leo aje na majibu ya kutokuridhisha? Hapa kwa kweli kuna kitu na wala si masihara.

Nadhani hali hii ndiyo maana hata JM anafikia kusema KOVA yeye ni mtu mdogo kwani yeye si jeshi la polisi. Huu ni ukweli mtupu kwani jeshi la polisi ni mfumo ambao huwezi kufanya mambo kwa mapenzi yako binafsi kama taswira ya sakata zima kati ya JM na KOVA inavyojionyesha.

Heshima mbele JM usirudi nyuma naona walitaka kukufanya wewe SABUNI kusafisha MAOVU yao. Songa mbele tuko pamoja usichoke coz sky is your limit.

God bless you MURO!
 
kwani kuwa na pingu ni kosa; je kama ilikuwa ni pingu ya kutumia kwa yeye na mpenzi wake anahitaji kuomba kibali polisi?
 
kwani kuwa na pingu ni kosa; je kama ilikuwa ni pingu ya kutumia kwa yeye na mpenzi wake anahitaji kuomba kibali polisi?

Mzee Mwanakijiji, Pingu kwa definition ya kisheria ni silaha. Ni kosa kuimiliki na ndiyo maana hakuna duka lolote mitaani zinakuuzwa.
 
Jerry anasema huyo mtu aliyekuwa na miadi naye alikuwa amezima simu,lakini huyo jamaaa yeye anadai kuwa Jerry alitaka apande gari waondoke eneo lile,Jerry anasema wala hata hamfahamu huyo mtu,lakini mtu huyo anadai hata miwani yake aliacha ndani ya gari na alimention kuhusu bastola na pingu.
Jerry yasije yakawa yale ya ndege mjanja......
Je machale yalimcheza Jerry na ndio maana akakataa kushuka kwenye gari na kumtaka waende eneo jingine?
Je polisi waliona kuwa kuwaacha waondoke eneo lile kungevuruga mtego mzima?
Kazi kweli kweli.
 
Issue hii iko somewhat complicated,kutokana na maelezo ya Jerry,simu aliyopigiwa ni ya kumwita kwenda kwenye press conference,na wakati mtoa rushwa ndugu Michael Wage anadai alimpigia simu wakutane kupeana hiyo milioni kumi,swali ni je simu hiyo ilitoka kwa huyo bwana Wage ama kwa mtu wa tofauti?
Kama kuna ushahidi wa mawasiliano ya Jerry na huyo mtoa rushwa/Wage muda mfupi kabla ya yeye kwenda kwenye hiyo "Press conference" then kuna reasonable doubt.
Kama aliyempigia simu Jerry ni tofauti na huyo Michael Wage then kuna jambo kwani ni wazi kuwa huo ni mtego.
 
Hii bado ni oneside story. Ukiangalia jamaa anavyo sema, utagundua kuwa there is more ya anayosema. Kuna habari imefunikwa hapo.
 
====
Mwanakijiji
Heshima yako mzee.
Hapa bwana sipendi ninachokiona. Jerry hapa amechemsha vibaya. Uwezekano wa kuombwa radhi haupo na hana kesi kabisa ya kuwafungulia polisi. Kuna mengi tusiyoyajua bado. Naunganisha dots hapa zote zinaniambia hii siyo kesi ya rushwa wala ya kubabikiwa na polisi. Forensically, hapa Jerry anaonekana jambazi (Bongo DSM type). Kuna serious integrity problem na tutasikia mengi tusiyoyapenda. Kupambana na rushwa Tanzania, unahitaji kuwa msafi sana.

Mkuu nikikwambia kuwa Polisi walitaka kumlinda yule mzee ili asitoletewe na Jerry kuwa ana miliki mali zilizo nje ya uwezo wa mapato yake halali kama mtumishi wa Umma baada ya kuwakatia polisi kitu kidogo utakaa pia?.

So hii issue ni sensitive tusihukumu upande wowote japo kwa sasa Polisi wanaoneka kama watatolewa Knokout kwa jinsi walivyo-i handle hii issue. Haiingii akili kabisa kumkata mtu aliyetaka kuchukua rushwa akiwa ndani ya gari lake, kwa nini wasiweke mtego?. Walichotaka kufanya hapa ni kuharibu public trust ya Jerry na kipindi chake move ambayo ime-backfire
 
Back
Top Bottom