Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

Halafu hata hao watu wake wa karibu wawe makini katika kurelease picha kama hizi people can use them against him kwa sababu inavoonekana ni kama walikuwa tu ofisini wanapiga stori sio press conference
you are right brothere,sio wote watakaoona hii video na hivyo itakuwa ngumu sana kwake kupata magnetude pablic sympathy.angefanya press conferance publicly ingem beba sana,hapo anapiga story na watu wake wa karibu na anatoa maneno makali sana.
naamini hawa police wamejichanganya vibaya,sasa MURO akibugi step watapata mwanya wa kumpiga pini.anatakiwa kutukia sana.mungu atamlinda
 
Nrudia tena naona kama vile hii imekaa kipersonal zaidi manake anavoongea ni kajiachia anaongea na washikaji zake mpaka kufikia kusema maneno ya kuhama, mshahara. Sijui lakini muono wangu ndo huo kuwa conversions were very personal to be displayed.
 
Hivi kweli.. msiniambie kuwa hamkuona hii story itakavyocheza; I believe kuna mtu ataombwa msamaha hapa kwa usumbufu. Tena nikiwa Jerry nafungua na kesi ya defamation and harassment!
 
Hii hii inaendeleza wasiwasi nilionao kwa vyombo vyetu vya usalama. Ni nani anawapa hizi strategy ambazo zinakuja kuwarudi big time? Hawana great thinkers? Si waje JF wawaombe strategiest maana wanavurunda tu kila siku.
 
Hivi kweli.. msiniambie kuwa hamkuona hii story itakavyocheza; I believe kuna mtu ataombwa msamaha hapa kwa usumbufu. Tena nikiwa Jerry nafungua na kesi ya defamation and harassment!
====
Mwanakijiji
Heshima yako mzee.
Hapa bwana sipendi ninachokiona. Jerry hapa amechemsha vibaya. Uwezekano wa kuombwa radhi haupo na hana kesi kabisa ya kuwafungulia polisi. Kuna mengi tusiyoyajua bado. Naunganisha dots hapa zote zinaniambia hii siyo kesi ya rushwa wala ya kubabikiwa na polisi. Forensically, hapa Jerry anaonekana jambazi (Bongo DSM type). Kuna serious integrity problem na tutasikia mengi tusiyoyapenda. Kupambana na rushwa Tanzania, unahitaji kuwa msafi sana.
 
..ukimiliki bastola kihalali, kuwa na pingu (COMMON SENSE) hata kama haipo kisheria, si utaitumia Ukimzidi nguvu mtu, unamlamba pingu ili awe mpole hadi utakapo muwasilisha kunako?

Polisi wamekula Njama na yule Mbagamoyo, wakamwundia Muro kikosi cha Kisasi, lakini hapa wanajamii tupambane Kufa na kupona, na hii mbinu ya kitoto itafikia Kikomo.
 
Mi naona hivi, sawa, jamaa labda anamisifa nk. Lakini tukumbuke kunareaction fulani si rahisi kuzizuia, tujifikirie na sisi, ingekuwa wewe? Lazima (hasa kwa kuwa hapa alikua anaongea na marafiki/ wafanyakazi wenzake) ameongea kwa jazba tu ile ya kawaida, mtu unaona umeonewa/ kusingiziwa...

Kama ingekua ni press conference nina uhakika jamaa asingeongea kwa staili hii.

Kwa kifupi, Pape, asante kwa kutuhabarisha lakini je, Jerry alifahamu kuwa unamrekodi? Ujue hii kitu hata hao wanaoitwa maadui zake wana access nayo na wanaweza kuitumia kwa mfano pale aliposema "Kova is a very minor person"
 
HIvi mngesikia pale alipofuatwa kapigwa risasi na polisi na kuuawa halafu ndani wamekuta bastola na pingu na Polisi wakadai kuwa walidhania ni jambazi (walipewa taarifa) mngeshangaa?
 
Hapa sijakupata vizuri, unaweza kufafanua?
======

SMU
Jerry amemaliza kuongea kwenye "Usiku wa Habari" katika TBC1 na Sudi Mnete. Habari nyingine zilizopatikana muda mfupi uliopita zinasema "matapeli" wengine wawili wanaodaiwa kushirikiana na Jerry katika zoezi hilo, wamekamatwa jioni hii.

Sasa nilichomaanisha kuhusu "forensic" indicators katika sakata hili ni uwepo wa pingu na bastola. Jerry aliondoka nyumbani kwenda kanisani. Haiingii akilini haraka kuwa aliamua kwenda bastola na pingu huko kanisani. Miwani ya mlalamikaji ilikutwa garini mwa Muro kuwa iliachwa siku iliyotangulia katika majadiliano ya namna ya kupeana fedha.
 
Hiyo issue Jerry anayodai kuwa Kova anajuwa for four years ni issue ya pingu ama bastola?Usijekuta cover imekuwa blown...Inawezekana Jerry ni mwanausalama?
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.
 
Pasco,

You are damn right... tumemtumia ujumbe tangu saa tano asubuhi kwamba akae kimya lakini nashangaa amesharelease singles mbili kwa leo tu!!!

He needs to calm down, akumbuke kwamba nukiona nyani mzee, ujue kakwepa mishale mingi, na si kwamba kaidaka!!!
 
Waheshimiwa, hizi habari za Jeri ziunganishwe ili tusiwe tunazunguka zunguka kama pia!
 
Kwa mtu yeyote aliye matured, leo haikuwa siku sahihi ya Jerry kuongea. Busara za kawaida kabisa zinaniambia alitakiwa kutulia na kuacha kila mtu aongee analotaka kusema.

Kuongea ukiwa na jazba inakufanya mtu utoe pumba bila kutarajia. Wala nisingemshauri kuitisha press conference yoyote. Hakuwa na sababu ya leo kwenda studio na kuongea akiwa bado na presha kwenye usiku wa habari.

He needs grown up mind around him.
 
======

SMU
Jerry amemaliza kuongea kwenye "Usiku wa Habari" katika TBC1 na Sudi Mnete. Habari nyingine zilizopatikana muda mfupi uliopita zinasema "matapeli" wengine wawili wanaodaiwa kushirikiana na Jerry katika zoezi hilo, wamekamatwa jioni hii.

Sasa nilichomaanisha kuhusu "forensic" indicators katika sakata hili ni uwepo wa pingu na bastola. Jerry aliondoka nyumbani kwenda kanisani. Haiingii akilini haraka kuwa aliamua kwenda bastola na pingu huko kanisani. Miwani ya mlalamikaji ilikutwa garini mwa Muro kuwa iliachwa siku iliyotangulia katika majadiliano ya namna ya kupeana fedha.

Tuna uhakika gani kuwa hao "matapeli" hawako upande wa mlalamikaji. Inawezekana kabisa wakajifanya wako kundi moja na Jerry ili kurahisisha ushahidi wa kumtia Jerry hatiani. Sitashangaa kama hao jamaa watakubali kirahisi.
 
Under all speech that is good for anything, there lies a silence that is better.
Ushauri wa bure kwa Jerry Muro: don't talk anymore, every word you say is incriminating. In the heat of the moment you will say things that will be used against you.
From a legal point of view interview au video hii tayari inaibua maswali mengi zaidi kuliko majibu! And it casts shadows of doubt over his story kama wana JF wengine walivyo-point out hapo juu.
Say no more, Jerry!
 
Back
Top Bottom