Video: Hezbollah wakishangaa uwezo wa teknolokia ya Iron dome ikipangua makombora wanayorusha,

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa,

JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo kama wanavyofanyiwa na Hamas au Hezbolah ?

Hezbollaj wanarusha roketi za dola elf 2 (shilingi milioni 5) lakini kombora moja la iron dome ni dola eld 25 (shilingi milioni 60+), Kwa nchi masikini tunaweza kuona ni pesa nyingi ila kwa Israel si chochote, uchumi wao kwa mwaka huu pekee ni dola bilioni 500 (Shilingi trilioni elf 1 +), kuhusu kupokea misaada hata tajiri wakati wa shida anaweza kuomba msaada kuwajua rafiki wa kweli, sio kwamba hajiwezi, hata Urusi ilishawahi kusaidiwa matrilioni na Marekani vita ya dunia.

 
katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa,

JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo kama wanavyofanyiwa na Hamas au Hezbolah ?

Hezbollaj wanarusha roketi za dola elf 2 (shilingi milioni 5) lakini kombora moja la iron dome ni dola eld 25 (shilingi milioni 60+), Kwa nchi masikini tunaweza kuona ni pesa nyingi ila kwa Israel si chochote, uchumi wao kwa mwaka huu pekee ni dola bilioni 500 (Shilingi trilioni elf 1 +)

View attachment 2904404
Uchumi wa Israel sio mkubwa kama unavyojinasibu wewe ni juzi tu alikuwa anaomba misaada zaidi
 
Uchumi wa Israel sio mkubwa kama unavyojinasibu wewe ni juzi tu alikuwa anaomba misaada zaidi
jitahidi kujizuia kuficha ujinga wako, uchumi wa zaidi ya shilingi trilioni ellf 1 ni mdogo ?

kuhusu misaada, Hata Tajiri akipata tatizo anaweza kuomba msaada sio kwamba hajiwezi, hata urusi na uwezo wake ilisaidiwa matrilioni ya misaada kutoka Marekani vita ya dunia ya pili
 
jitahidi kujizuia kuficha ujinga wako, uchumi wa shilingi trilioni ellf 1 ni mdogo ?

kuhusu misaada, Hata Tajiri akipata tatizo anaweza kuomba msaada sio kwamba hajiwezi, pia hawezi kukataa misaada,
Wewe ndo uwe unaficha utahira wako pale unapojaribu kuelezea ukubwa na udogo wa kitu chochote achilia mbali uchumi
 
Back
Top Bottom