Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,884
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.

Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa sehemu muhimu ya ulinzi wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora.

Iron Dome inafanya kazi o njia ifuatayo:

Kuchunguza: Mfumo huu una vituo vya radar vilivyosambazwa kote nchini Israel. Vituo hivi vinachunguza anga kwa kutambua makombora yanayotoka upande gani wa adui. Mara tu kombora linapogundulika, taarifa zote kuhusu harakati za mwelekeo hupitishwa katika kituo cha udhibiti wa mfumo.

Uchambuzi: Kituo cha udhibiti wa mfumo hufanya uchambuzi wa mwelekeo na harakati za kombora, ikiwa ni pamoja na kujua ni tishio la moja kwa moja kwenda maeneo ya raia au lah, hivyo mfumo huu unaweza kutambua kama kombola limaelekea maeneo yenye watu au yasiyo na watu. Kwa kuzingatia taarifa hizi, uamuzi wa ikiwa kuangusha kombora hilo au lah hufanywa. Kama haliendi kwenye makazi ya watu basi mfumo huo uachana na kombora hilo.

Kutungua: Ikiwa uamuzi wa kuangusha kombora unafanywa, mfumo wa Iron Dome unatumia makombora ya kudungua angani ambayo yanasafirishwa kwa kasi na kurushwa kuelekea uelekeo wa kombora la adui. Makombora haya yana teknolojia ya kipekee inayowezesha kuyagundua na kuyashambulia makombora ya adui hewani. Mfumo huu ukigundua kombora lenye tishio kwa raia au maeneo ya watu, mara moja utuma makombora ambayo yataenda kugongana na kombora la Adui angani na kisha kulipuka huko huko angani.

Kugundua mabaki: Baada ya makombora ya Iron Dome kudungua kombora la adui, mfumo huu unafuatilia vipande vilivyosalia vya kombora hilo na kuhakikisha kuwa hayana uwezo wa kuleta madhara.

Mfumo wa Iron Dome umethibitisha ufanisi wake katika kulinda maisha na mali za raia wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora kutoka kwa makundi kama Hamas na Hezbollah. Hata hivyo, ni mfumo unaogharimu sana na hutumia rasilimali nyingi kwa kila kombora lililolengwa.

IRON DOME utumika kupambana na kutungua makombora ya umbali mfupi yani short range missiles. Huku kwa makombora ya masafa ya kati na masafa marefu (medium range and long range missiles) mfumo mwingine wa kujilinda ujulikanao kama ARROW SYSTEM hutumika kutungua na kuyaharibu makombora ya adui yakiwa angani. Hivyo mifumo hii miwili usaidia kulinda makazi ya watu dhidi ya mashambulizi ya makombora.
 
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.

Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa sehemu muhimu ya ulinzi wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora.

Iron Dome inafanya kazi kwa njia ifuatayo:

Ahsante Mungu kwa kunifanya niwe Mwisrael kweli kweli asie na hila ndani yake, japo nipo huku Mpitimbi
 
Mungu wa Israel ni mungu wa Mayahudi. Na wala siyo huyu Mungu ninaye muamini mimi.
Na ndiyo maana hata hao Mayahudi hawaamini kama Yesu Kristo alikuwa ni Mwana wa Mungu.

Mayahudi ni majitu makatili tu. Na kwa sababu yamekutana na wababe wao wa Hamas, wacha yanyooshwe tu.
 
Mbona naona HAMAS ndio wanalia?
 
Hao wana makubaliano an mataifa ya NATO kimikataba pamoja na UN Kuwa watailinda Israel Kwa namna yoyote na ndio kiburi au jeuri inaanzia hapa

Na Ndio maana unaona mataifa yote makubwa yamesema wazi na wana peleka misaada kwa waisrael

Waisrael miaka nenda rudi wamekuwa wakiwaadhibu vilivyo hawa wapalestine na hakuna kauli utasikia ya kukemea toka upande ambao ndio huwa una jinasibu kutetea haki nk
 
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.

Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa sehemu muhimu ya ulinzi wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora.

Iron Dome inafanya kazi kwa njia ifuatayo:

Kuchunguza: Mfumo huu una vituo vya radar vilivyosambazwa kote nchini Israel. Vituo hivi vinachunguza anga kwa kutambua makombora yanayotoka upande gani wa adui. Mara tu kombora linapogundulika, taarifa zote kuhusu harakati za mwelekeo hupitishwa katika kituo cha udhibiti wa mfumo.

Uchambuzi: Kituo cha udhibiti wa mfumo hufanya uchambuzi wa mwelekeo na harakati za kombora, ikiwa ni pamoja na kujua ni tishio la moja kwa moja kwenda maeneo ya raia au lah, hivyo mfumo huu unaweza kutambua kama kombola limaelekea maeneo yenye watu au yasiyo na watu. Kwa kuzingatia taarifa hizi, uamuzi wa ikiwa kuangusha kombora hilo au lah hufanywa. Kama haliendi kwenye makazi ya watu basi mfumo huo uachana na kombora hilo.

Kutungua: Ikiwa uamuzi wa kuangusha kombora unafanywa, mfumo wa Iron Dome unatumia makombora ya kudungua angani ambayo yanasafirishwa kwa kasi na kurushwa kuelekea uelekeo wa kombora la adui. Makombora haya yana teknolojia ya kipekee inayowezesha kuyagundua na kuyashambulia makombora ya adui hewani. Mfumo huu ukigundua kombora lenye tishio kwa raia au maeneo ya watu, mara moja utuma makombora ambayo yataenda kugongana na kombora la Adui angani na kisha kulipuka huko huko angani.

Kugundua mabaki: Baada ya makombora ya Iron Dome kudungua kombora la adui, mfumo huu unafuatilia vipande vilivyosalia vya kombora hilo na kuhakikisha kuwa hayana uwezo wa kuleta madhara.

Mfumo wa Iron Dome umethibitisha ufanisi wake katika kulinda maisha na mali za raia wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora kutoka kwa makundi kama Hamas na Hezbollah. Hata hivyo, ni mfumo unaogharimu sana na hutumia rasilimali nyingi kwa kila kombora lililolengwa.

IRON DOME utumika kupambana na kutungua makombora ya umbali mfupi yani short range missiles. Huku kwa makombora ya masafa ya kati na masafa marefu (medium range and long range missiles) mfumo mwingine wa kujilinda ujulikanao kama ARROW SYSTEM hutumika kutungua na kuyaharibu makombora ya adui yakiwa angani. Hivyo mifumo hii miwili usaidia kulinda makazi ya watu dhidi ya mashambulizi ya makombora.
make mwake babake,
umetisha sana kwa Elimu hii mujarab ya Irion dome na arrow system
 
Mkuu, umetuambia kuwa hizo IRON DOME zinaharibu hayo makombora huko huko angani. Lakini, wiki iliyopita, tumesikia/kuona Israel wana kilio kikubwa baada ya ndugu zao wengi kuuwawa na hayo makombora. Hapo ilikuwaje?
 
Mungu hajawahi kufanya kazi na israel yenye nguvu
Mpaka pale ilipozidiwa na njia zake zakujisaidia zilipoisha
Amefanya hvyo kwa musa, eliya, gidion, samson na kwengine kote kwenye biblia
Nakumbuka kuna sehem alimwambia gidion hao watu niwengi sana kwenda nao vitani msije mkaenda mkashinda mkasema kuwa ninguvu zenu zimewasaidia pamoja na wingi hvyo waambie wanajeshi waliooa hivi karibuni warudi na walionunua mali mpya kama viwanja hivi karibuni wasiende vitan
Kundikubwa likapungua
Badae tena akamwambia ao waliobaki wapeleke mtoni waambie wanywe maji, wale ambao watakunywa maji kama mbuzi kwa kupiga magoti nasio kuchota namkono ndo nataka hao tuu
Wakabak sijui watu mia ngapi tuu
Na wakaenda wakashinda vita
Sasa apo saiv wanajipigania wenyewe, akili zao na mitambo yao itaposhindwa ndo watamkumbuka mungu.
Na biblia inasema

Zekaria 12:9-11
[9]Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.

[10]
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.

[11]Siku hiyo kutakuwa na maombolezo makuu huko Yerusalemu, kama maombolezo ya Hadadrimoni katika bonde la Megido.

Hapo ndo watamtambua yesu waliemsulubisha

Zekaria 13:6
[6]Na mtu atamwambia, Je! Jeraha hizi ulizo nazo kati ya mikono yako ni nini? Naye atajibu, Ni jeraha nilizotiwa katika nyumba ya rafiki zangu.
 
Mungu wa Israel ni mungu wa Mayahudi. Na wala siyo huyu Mungu ninaye muamini mimi.
Na ndiyo maana hata hao Mayahudi hawaamini kama Yesu Kristo alikuwa ni Mwana wa Mungu.

Mayahudi ni majitu makatili tu. Na kwa sababu yamekutana na wababe wao wa Hamas, wacha yanyooshwe tu.
Hao jamaa ni jeuri na kiburi sana nadhani kuwa na miakili mingi kumewafanya wawe Makatili.
 
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.

Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa sehemu muhimu ya ulinzi wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora.

Iron Dome inafanya kazi kwa njia ifuatayo:

Kuchunguza: Mfumo huu una vituo vya radar vilivyosambazwa kote nchini Israel. Vituo hivi vinachunguza anga kwa kutambua makombora yanayotoka upande gani wa adui. Mara tu kombora linapogundulika, taarifa zote kuhusu harakati za mwelekeo hupitishwa katika kituo cha udhibiti wa mfumo.

Uchambuzi: Kituo cha udhibiti wa mfumo hufanya uchambuzi wa mwelekeo na harakati za kombora, ikiwa ni pamoja na kujua ni tishio la moja kwa moja kwenda maeneo ya raia au lah, hivyo mfumo huu unaweza kutambua kama kombola limaelekea maeneo yenye watu au yasiyo na watu. Kwa kuzingatia taarifa hizi, uamuzi wa ikiwa kuangusha kombora hilo au lah hufanywa. Kama haliendi kwenye makazi ya watu basi mfumo huo uachana na kombora hilo.

Kutungua: Ikiwa uamuzi wa kuangusha kombora unafanywa, mfumo wa Iron Dome unatumia makombora ya kudungua angani ambayo yanasafirishwa kwa kasi na kurushwa kuelekea uelekeo wa kombora la adui. Makombora haya yana teknolojia ya kipekee inayowezesha kuyagundua na kuyashambulia makombora ya adui hewani. Mfumo huu ukigundua kombora lenye tishio kwa raia au maeneo ya watu, mara moja utuma makombora ambayo yataenda kugongana na kombora la Adui angani na kisha kulipuka huko huko angani.

Kugundua mabaki: Baada ya makombora ya Iron Dome kudungua kombora la adui, mfumo huu unafuatilia vipande vilivyosalia vya kombora hilo na kuhakikisha kuwa hayana uwezo wa kuleta madhara.

Mfumo wa Iron Dome umethibitisha ufanisi wake katika kulinda maisha na mali za raia wa Israel dhidi ya vitisho vya makombora kutoka kwa makundi kama Hamas na Hezbollah. Hata hivyo, ni mfumo unaogharimu sana na hutumia rasilimali nyingi kwa kila kombora lililolengwa.

IRON DOME utumika kupambana na kutungua makombora ya umbali mfupi yani short range missiles. Huku kwa makombora ya masafa ya kati na masafa marefu (medium range and long range missiles) mfumo mwingine wa kujilinda ujulikanao kama ARROW SYSTEM hutumika kutungua na kuyaharibu makombora ya adui yakiwa angani. Hivyo mifumo hii miwili usaidia kulinda makazi ya watu dhidi ya mashambulizi ya makombora.
Katika kuichambua hukusema Iron dome inawachuliaje wapiganaji wa Hamas wakipaa juu na paragliders.Au ni mpaka toleo lijalo.Na pia hukusema Iron dome huwa ina uwezo kuangusha makombora mangapi yawapo angani na kwamba huenda kuna muda inazidiwa.
 
Mungu wa Israel ni mungu wa Mayahudi. Na wala siyo huyu Mungu ninaye muamini mimi.
Na ndiyo maana hata hao Mayahudi hawaamini kama Yesu Kristo alikuwa ni Mwana wa Mungu.

Mayahudi ni majitu makatili tu. Na kwa sababu yamekutana na wababe wao wa Hamas, wacha yanyooshwe tu.
Usije kubweka Tena. Maana hamasi wanawanyosha wayaudi. Hivi wayahudi mnawaita Mayahudi mbona waparestina amuaiti Maparestina?
 
Back
Top Bottom