Video: Chimbuko la Wahaya ni ISRAEL, miaka 4000 K.K

mmh karibuni tutafika bustani ya Eden chimbuko la Adam na Hawa.
 
Wahaya ni wabantu ....

Wabantu wanasadikika kutoka Cameroon ila ukiongelea kwa historia ya hivi karibuni...
Wahaya wa Leo walitokea Uganda (kati ya bunyoro ama Buganda) lakini pia kuna baadhi ya kaya za kihaya zilizoanzishwa na watu kutoka Rwanda....


Wahaya ni kabila kubwa sana na lina mashina mengi ambayo huwezi kuyaelezea kirahisi...

HISTORIA YAKE NILIISOMA ZAMANI HIVYO, SINA KUMBUKUMBU THABITI
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mbona hata wamakonde wanaweza kusema chimbuko lao ni israel nchi ya kulialia
 
Wahaya bwana ka! Hata ana cheti cha std seven anatamba ana degree
Ungeelewa video yenyewe ungempuuzia huyo aliye leta uzi na hii heading. Kwenye video ni kuhusu maisha ya Yesu ila narrator katumia kihaya na hakuna cha historia ya wahaya wala nini. Nia yake ni kuleta mjadala utakaofanya watu watukane na kubeza wenzao bila sababu.
 
Mleta mada ungesema Waisrael asili yao ni wahaya ningekuona briliant...acha kujidharau na wewe ni mtu kamili siyo lazima uwe na asili ya jamii fulani
 
Back
Top Bottom