kabwinyola
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 560
- 678
Angalia video hii utapenda tafsiri yake
Hehehemkuu sio kweli chimbuko letu n U.S.A ...baadae ntaleta ushahid
Video ndo kila kitujaman jaman na wachaga nao walishakujinadi kwamba wao chimbuko lao ni israel
HeheImebidi nicheke tu
Huyu mzee alikuwa muoga tu
Wachaga chimbuko lao ni Wanyantuzu na wahaya chimbuko lao ni wagogo.jaman jaman na wachaga nao walishakujinadi kwamba wao chimbuko lao ni israel
We we acha hizo wahay wawe wagogo?? Au sijasoma vizuriWachaga chinbuko lao in Wanyantuzu na wahaya chimbuko lao ni wagogo.
Kweli mkuu, chimbuko la wahaya ni wagogo....We we acha hizo wahay wawe wagogo?? Au sijasoma vizuri
kwani wewe kabila gani?jaman jaman na wachaga nao walishakujinadi kwamba wao chimbuko lao ni israel
NimemuambiaMungu anakuona mleta mada.