Utakuwa mtoto wa 2000 wewe, mazingaombwe huyajui. Mababu walifyekwa vita ya majimaji walikuwa na imani kama yako. Sasa mtoto wa juzi nawe una imani za karne zilizopita.Kama ushawahi kusikia mtu amechanjwa madawa yanayozuia silaha kutomdhuru eg. Mapanga, risasi, visu n.k
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895379