VIDEO:Africa wanavyo omboleza kifo cha mwamba wa africa

KUNGUNIMSOMI

Senior Member
Sep 8, 2013
170
161
Nchi nyingi za kiafrica zinaomboleza kifo cha RAIS MAGUFULI kama unavideo itupie ili tuone..Mimi nimeanza na izi video.
 
Attachments

  • VID-20210326-WA0000.mp4
    4.5 MB
  • VID-20210326-WA0001.mp4
    3.8 MB
Unajua ili mtu aomboleze kwa ajili yako unakuwa umemgusa kwa namna moja ama nyingine.

Hawa watu JPM aliwafikiaje wakati hakupambania nchi nyingine kama JKN? Au ni watanzania waliopo nje?
 
Unajua ili mtu aomboleze kwa ajili yako unakuwa umemgusa kwa namna moja ama nyingine.

Hawa watu JPM aliwafikiaje wakati hakupambania nchi nyingine kama JKN? Au ni watanzania waliopo nje?
Em achana na raia wanyonge..mtatifuana tu asubuhi asubuhi yote hii bila faida yoyote...
 
Msiba wa Stallin aliyeuwa mamilion ya watu mwaka 1953
IMG_20210325_214022.jpg

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mwenda zake kaenda..apumzike kwa amani.

Kuna msemo, "Nabii hakubaliki kwao"
 
Back
Top Bottom