MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,228
- 2,423
amen, nadhani atatoa vitu vikali huko
Asituangushie watumishi wetu tu, hii ndio hofu yangu, si hukumu ila natoa angalizo
amen, nadhani atatoa vitu vikali huko
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"
kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!
Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!
Tumuombee Mungu, asonge mbele, ampigishe hatua zaidi, na awe mfano kwa wengine!!
Lakini umeisha ona video ya wimbo huo? anavyokata mauno yake inaashiria kuokoka kweli??? wish her the best kama ameokoka lakini isije ikawa anataka kuwapoteza vijana wa kilokole!!!

jamani kama ameokoka ni kwa neema ya Mungu, sote tumuombee asonge mbele, kama kulikua na huduma zozote alizokuwa anazitoa kwa mtu fulani basi azisitishe.
Amen kuokoka ndio staili mpya.
Nani kasema ukiokoka unasitisha huduma!!!!!!!!!!!!!!!!!!