Vicky Kamata aokoka

akawagawie masikini kila alichopata isivyo halali kwanza ndio atangaze nia ya kuokoka
 
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!

Tumuombee Mungu, asonge mbele, ampigishe hatua zaidi, na awe mfano kwa wengine!!

Lakini umeisha ona video ya wimbo huo? anavyokata mauno yake inaashiria kuokoka kweli??? wish her the best kama ameokoka lakini isije ikawa anataka kuwapoteza vijana wa kilokole!!!
 
Lakini umeisha ona video ya wimbo huo? anavyokata mauno yake inaashiria kuokoka kweli??? wish her the best kama ameokoka lakini isije ikawa anataka kuwapoteza vijana wa kilokole!!!

Isije ikawa Delila kaingia kanisani, Natumaini wakuu mnamkumbuka Delila! Ni yule mwanamke malaya aliyetumiwa na wafilisti kwa malipo ya nguvu kwenda kumdanganya mnadhiri wa Mungu Samson ili amueleze siri ya nguvu zake. Delila kajipitisha, Samson akampenda, akaolewa, akafanikiwa kujua asili ya nguvu za Samson, akamuuza kwa Wafilisti nao wakamuua! Vicky kama umeamua kuokoka uokoke kweli, na mauno hayatakiwi kwenye nyimbo za Injili! Maana kila anayemuabudu Mungu anatakiwa kumwabudu katika Roho na Kweli.
 
Mmmh nimeona wanavyokata mauno kwenye huo wimbo huku vitovu vikiwa wazi na kesho tutamsingizia roho wa bwana?
 
Wengi tunampenda Yesu.....Na si wote tunaohamini katika Mungu.....Actions will show.....
 
Bwana Yesu asifiwe! Hongera sana dada Vick Kamatta kwa uamuzi wako wa busara. Mungu akubariki sana!
 
naona mheshimiwa Rwakatarehe anafanya kazi nzuri ya kuwaombea huko mjengoni
 
jamani kama ameokoka ni kwa neema ya Mungu, sote tumuombee asonge mbele, kama kulikua na huduma zozote alizokuwa anazitoa kwa mtu fulani basi azisitishe.

Nani kasema ukiokoka unasitisha huduma!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
'yanipasa kufurahi kwa maana nduguyo alikuwa amepotea naye amepatikana' kwani ni lini aliwahi kutafutwa kuwa amepotea? mbona sikusikia akiripotiwa kuwa haonekani!
 
Nani kasema ukiokoka unasitisha huduma!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hapa naona palimaanishwa usharati na uzinzi.....kwani BOT hujui aliye masharatisha akampachika huko au Ubunge hujui aliemzinzisha???
 
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!

Tumuombee Mungu, asonge mbele, ampigishe hatua zaidi, na awe mfano kwa wengine!!

Ni baada ya kupata kikombe cha babu? Kumpenda Yesu ndio kuokoka? Au cha msingi ni matendo? Halafu huo wimbo ni mipasho hiyo, kama kweli amemrudia Bwana sasa hayo maneno ya nini?
 
Kwanza Yesu anataka ukiamua kumfuata inabidi ulivyonavyo uwagawie masikini na vile ambavyo umepata isivyo halali uvirudishe kwa wenyewe. Tunaomba harudishe Ubunge kwani yawezekana haikuwa halali yake!!!!!
 
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!

Tumuombee Mungu, asonge mbele, ampigishe hatua zaidi, na awe mfano kwa wengine!!

Yaani kusema kuwa 'Yes, nampenda Yesu ndiyo unasema ameokoka?

Hata Bush alipoulizwaga ikiwa ameokoka alijibu, 'if you mean being born again, yes I am born again' Wakristo wengi hasa walokole wakazani ni mwenzao - mtu aliyeokoka' baadaye wakagundua kuwa ukiingia Freemasons au ile Bornes and Skull society ya ki-mansons ya Yale university, unaitwa a 'born again' person.

Hakuna mwanadamu anayemchukia Yesu. Kwa nini hakujibu..Yes, nimeokoka na nampenda Yesu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom