Vicky Kamata aokoka

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!

Tumuombee Mungu, asonge mbele, ampigishe hatua zaidi, na awe mfano kwa wengine!!
 
Amefunuliwa na amejua Kweli nayo Kweli imemweka huru, jipe Moyo Mkuu Vick utashinda ya ulimwengu huu.
 
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!
Kumpeda yesu na kuokoka ni sawa? ? ?
Je wewe humpendi yesu?
Kakukosea nini hata usimpende?
 
Nata hujanielewa!! vicky kaulizwa eti ni kweli umeokoka?? akajibu Yes kumaanisha kwamba ameokoka then akajibu nampenda Yesu!!

ningekuwa simpendi Yesu huko kwenye matamasha ya miziki ya injili ningekwenda kufuata nini??

nivema kuelewa kuliko kujibu usichokielewa!!
 
Kazi kweli kweli!
 
kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Haya maneno ni ya mtu asiyejiamini..
Sipendi kabisa watu wenye hii tabia ya kujihami dhidi ya wenzake; eti wananisema, wananisimanga... we nani??
 
WAIMBA TAARABU.....MASHAIRI YA TAARABU......kama kweli AMEOKOKA MATENDO NDO YATAKUWA MAJIBU YA MASWALI YETU.......na kama ni zuga MATENDO NDO YATADHIHIRISHA...! (MFANO)
KUNA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUM MKOANI SINGIDA...NI MWIMBAJI WA SO CALLED GOSPELS......mmmmh....kama Yesu ndo yupo hivi NOOOO....BIG NOOOOOO....!
 
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"

kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!

Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!

Msanii kazini!
 
jamani kama ameokoka ni kwa neema ya Mungu, sote tumuombee asonge mbele, kama kulikua na huduma zozote alizokuwa anazitoa kwa mtu fulani basi azisitishe.
 
Tuombee inchi yetu dada yeye kama ameokoka ni ishu yake na Mungu wake
 
Manyanza Biblia inasema hivi, " yanipasa kufurahi kwa maana nduguyo alikuwa amepotea naye amepatikana, alikuwa amekufa naye amefufuka"

hii nchi iliyo chini ya laana ni lazima wapatikane watu wa kuiombea na watu wenyewe ndio hao wakina vicky!! ninani aliyejua Ester anaweza kuwakomboa Wayahudi????

Mungu huvitumia vile vidhaifu, vinyonge au vilivyokataliwa ili kuleta ukombozi ama uamsho fulani!!
 
Haya maneno ni ya mtu asiyejiamini..
Sipendi kabisa watu wenye hii tabia ya kujihami dhidi ya wenzake; eti wananisema, wananisimanga... we nani??

Kuokoka sio mchezo mkuu huyo anatafuta umaarufu mbele za watu hebu kumbuka msanii mmoja anaitwa Mr magali alijifanya mlokole kumbe alikuwa mlevi na anachukua mademu kama kawa na kuna siku live akatoka kwenye magazeti ya udaku, tangu ilipotokea ile skendo sikuwahi kumsikia yule jamaa akisema bwana Yesu tena
 
Back
Top Bottom