Vick Kamata on TBC

Status
Not open for further replies.
Huyu alimwimba sana JK kwamba ni kiongozi kama Mfalme Sulemani, naogopa ku-connect dots.....!
 
Mh! no wonder JK Nyerere alisema hadharani kuwa JK Mrisho kuwa bado kutwaa upresdaa.alishaona character shortcomings,tukumbuke kuwa alikuwa anamjua kwa karibu kijana wake jinsi alivyokuwa akishirikiana vizuri na UWT.
sasa tunayaona wenyewe.nahisi niondoke nchini nirudi 2015
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom