Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Kuna yule dogo aliepata 7 azania akaenda kusomeshwa bure Mzizima akalewa sifa akaishia kunywa pombe hivi anaitwaje? Nishamsahau!!!!

Pia kuna jamaa alipata 9 akaenda mzizima akapiga 3 akaona ngoja aende oxford kusoma,wale jamaa wakamwambia huna sifa za kujiunga hapa kwanza Afrika nzima kuna nafasi mbili tu,nadhani ni dr muhimbili sasa!

Huyo anaitwa Wenzi aka WENZI MAN, nilishawahi kumkuta Shule ya sekondari George Washngton anafundisha, tukiwa tunaongea akasema anataka kujiunga na UDSM mwaka huo (kumbukumbu zinaonyesha ilikuwa 2008). Wakati rika lake walikuwa tayari kwenye ajira
 
huyo jamaa aliyenda mzizima anaitwa weinzman....hata form six hakumaliza ingawa alipata point seven form four...sad story coz he ended up being a full time alcoholist kule mitaa ya magomeni

Duh! inasikitisha sana, alafu alipangiwa nadhani Mzumbe au Ilboru dogo hakachomoa! kumbe ndo ameishia huko!
 
Huyo anaitwa Wenzi aka WENZI MAN, nilishawahi kumkuta Shule ya sekondari George Washngton anafundisha, tukiwa tunaongea akasema anataka kujiunga na UDSM mwaka huo (kumbukumbu zinaonyesha ilikuwa 2008). Wakati rika lake walikuwa tayari kwenye ajira

Yap yap WENZI MAN...Jamaa nasikia mlevi wakutupwa daa alikua kichwa sana jamaa One ya Point 7 azania ni nomaaaaa Haitokeagi hii makitu,zinaanziaga 8 na 9 lkn yeye alipiga!!
 
Duh! inasikitisha sana, alafu alipangiwa nadhani Mzumbe au Ilboru dogo hakachomoa! kumbe ndo ameishia huko!

Kuna Mama wa Kihindi alikua anafundisha Kemia LAbs azania ndio alimpa mchongo wa kusoma bure mzizima kumbe ndio kapotelea hukohuko,bora angeenda ilboru angeondoka na tatu yake!!
 
Kuna Mama wa Kihindi alikua anafundisha Kemia LAbs azania ndio alimpa mchongo wa kusoma bure mzizima kumbe ndio kapotelea hukohuko,bora angeenda ilboru angeondoka na tatu yake!!

Sasa unajua kilichomkuta kule Mzizima ni ulimbukeni, Wenzi alikuwa mtoto wa kitaa Azaboy sasa, wapi na wapi mtoto wa kitaa kujimix na watoto wa kishua Mzizima, eti naye akataka kujifanya mtoto wa kishua, madem kwa sana, ulabu pamoja na mapub kwa sana.
 
huyo dogo alikuwa anaitwa Wenzi!!!hahahha,umenikumbuasha mbali kijana
 
]Kuna yule dogo aliepata 7 azania akaenda kusomeshwa bure Mzizima akalewa sifa akaishia kunywa pombe hivi anaitwaje? Nishamsahau!!!!
[/COLOR]
Pia kuna jamaa alipata 9 akaenda mzizima akapiga 3 akaona ngoja aende oxford kusoma,wale jamaa wakamwambia huna sifa za kujiunga hapa kwanza Afrika nzima kuna nafasi mbili tu,nadhani ni dr muhimbili sasa!

alikua anajiita Dr weins...baada ya kumwagwa mzizima alikua anafundisha tuition zake magomeni naskia alikuja kufanya pepa ya f6 kama PC...azaboy alikua mbele yangu kwa vidato viwili
 
kuna Jamaa mmoja alikuwa ana masifa sana anajiita Mtumishi, jina kamili kama sjasahau alikuwa anaitwa Ignas, sjui aliishia wapi? A level alipangwa Tosa akawa anadai wamemfanyia majungu ye ni wa mzumbe!
 
Masikin DMX msela mavi kawa dereva wa daladala alifail mtihani wa form 2 ila mtiga anafundisha tuition AZABOY mhuri wa kijani raman ya Afrika mfukon mwa shati.School anthem tone tamu kushinda National anthen ya USA.
 
Je mnamkumbuka Humpherey Polepole yule mtaalam wa kingereza Azania yote. Alituwakilisha kwenye midahalo mingi ya kitaifa na ya kimataifa. Nasikia siku hizi ni Mwanaharakati. Halafu kuna kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA tumesoma nae hapo Azaboys. Mnamkumbuka yule headboy ambae alikuwa hajui kiswahili hata kidogo. Alikuwa anapata shida siku ya School baraza. Niliumia sana baada ya serikali kuifanya Azania kuwa shule ya mchanganyiko upande wa A-level. Wangebakisha Boys only.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom