Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Kuna yule dogo aliepata 7 azania akaenda kusomeshwa bure Mzizima akalewa sifa akaishia kunywa pombe hivi anaitwaje? Nishamsahau!!!!

Pia kuna jamaa alipata 9 akaenda mzizima akapiga 3 akaona ngoja aende oxford kusoma,wale jamaa wakamwambia huna sifa za kujiunga hapa kwanza Afrika nzima kuna nafasi mbili tu, nadhani ni Dr muhimbili sasa!
 
Huyu msela alisoma O-leval na A-leval Azania kisha akaenda Muhimbili (medicine), huyu msela alikuwa noma! sijui ata kama alimaliza Muhimbili!

Olevo azania Advance Tambaza! Ni dokta sasa!! Kaboka Mchizi aka Faraja Dickson
 
Olevo azania Advance Tambaza! Ni dokta sasa!! Kaboka Mchizi aka Faraja David

Ebwana kweli ww unamjua vizuri, mchizi Kaboka, mpaka umekumbuka jina lake, nikweli alisoma O-level Azania na A_level Tambaza.

Unakumbuka jinsi mchizi alipokuwa anasoma tuition bure kule Jangwani kwa kina Babangida na Mudi?
 
aaaaaaaaaaaaaaa!! watani zetu wa jadi wavaa kaptula na suruali za kakhi - kumekucha eh? - lol - a joke with a light touch!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom