Vicent Kiboko Nyerere ni namba nyingine!

Ni Mbunge wangu wa jimbo la Musoma Mjini. Ni kijana machachari asiependa kujionyesha wala kujikweza. Anazijua vizuri sana siasa chafu za bongo hasa zile majitaka za magamba na anazicheza vyema. Kijana yupo focused sana katika siasa za maendeleo etc kwa wale msiomjua habari ndio hiyo, kwetu musoma jamaa ni maarufu kwa jina la "INVISIBLE NYERERE". Nategemea atafanya makubwa sana Arumeru Mashariki!

Kwa Musoma anaishi opposite na Ofisi za Mohamed Trans zamani Scandinavia ila shughuli zake kabla ya kuingia kwenye siasa za kimagwanda sizikumbiki vizuri... hebu nikumbushe mkuu.
 
Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu
Mwambie masanja aweke picha hata kama halijabisha!... Nalichukia sana limwugulu nchemba...
 
Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu

mkuu usisubiri libishe! tupa picha hapa fasta, utaitendea lililo jema taifa lako, mkuu nasubiri picha, naomba msijekuwa mmehongwa!!!
 
Mwigulu yuko kwenye nyuma za watu na yale mambo yake yaleeeee!akimaliza utajua tu yuko arumeru mashariki.EL nadhani siku akitia mguu pale ni life na death i can't imagine makombora mwanzo mwisho silaha yao ya mwisho wabaki na kete ya kununua shahada za kupigia kura tu.
 
Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu

si muweke picha hiyo. Wakuu vipi tena
 
Amelinunua mkuu, popote akijitokeza kila mmoja wetu amuulize hili swali, kiapo cha kubadili jina kinhusu anayebadili jina, ni vipi amembadilisha jina baba yake, na marehemu babu yake bila idhini yao? jina lake kamili ni lameck madelu. narudia mara nyingine tena, muda unakuja tutamfutia vyeti vyake vyote, kazi pekee ambayo hatutamzuia kufanya ni kilimo, muda huo unakuja kwa kasi! ukijumlisha na uhusika wake kwenye siasa za tindikali igunga, sioni atakwepea wapi kunyea debe!!!!

kumbe si jina lake.
 
wala hukutakiwa kumtaja huyu masanja wako san sana ungemwaga picha tu tuone anavorukaruka kichura ingependeza sana
Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu
 
Ni Mbunge wangu wa jimbo la Musoma Mjini. Ni kijana machachari asiependa kujionyesha wala kujikweza. Anazijua vizuri sana siasa chafu za bongo hasa zile majitaka za magamba na anazicheza vyema. Kijana yupo focused sana katika siasa za maendeleo etc kwa wale msiomjua habari ndio hiyo, kwetu musoma jamaa ni maarufu kwa jina la "INVISIBLE NYERERE". Nategemea atafanya makubwa sana Arumeru Mashariki!

weka wasifu wake mkuu.
 
Mwigulu sasa hivi hasikiki kisha zama kwenye nyumba za watu yale mambo yake yaleee!akimaliza utajua yupo.
 
kumbe hakuna msafi CCM? Kweli ni chaka la majambazi. watu dizani hii watatoa hela na silaha kupigania kubaki madarakani. Bishen
 
LAMECK MADELU a.k.a Mwigulu ni noma, ila Arumeru inaonekana kabanwa sana sijaskia mtu akilalamika kuibiwa my wife wake kabisa aliwaonea watani zake wanyamwezi tu
 
ukitaka kujua utata wa vicent muulize mkapa...nasikia mkapa amesema haendi tena arumeru mashariki maana safari hii anahisi atavuliwa nguo kabisaa...vicent ni kiboko na nimejiaminisha kwamba jimbo hilo sasa ni la chadema...

huyu bwana noma anakuambia full vochour, full charge tatizo network kwa hiyo saa yoyote wakibiip anapiga huyu mwisho halafu sii kama magamba wanatukana tuu na majungu kibao
 
Turufu pekee aliyobaki nayo Mwigulu hivi sasa ni kuchukua vijana wa kwenye vijiwe vya kuvutia bangi anawanywesha Gongo na kuwavutisha bangi alafu anaenda nao kwenye mkutano eti ni wafuasi wa CCM
Hao hawapigi kura
 
Lameck Madelu!?? Kumbe ndio maana kwenye majina yake katikati anatupia L. M?? Hata hapa JF amejisajili kwa majina ya Mwigulu L. M Nchemba!

Anyway, safari hii Vincent Nyerere amewashika vibaya ccm huko Arumeru mashariki hata wafanyeje hawatoki.

So far so good. Good job Chadema team.
 
Back
Top Bottom