Vicent Kiboko Nyerere ni namba nyingine!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ni Mbunge wangu wa jimbo la Musoma Mjini. Ni kijana machachari asiependa kujionyesha wala kujikweza. Anazijua vizuri sana siasa chafu za bongo hasa zile majitaka za magamba na anazicheza vyema. Kijana yupo focused sana katika siasa za maendeleo etc kwa wale msiomjua habari ndio hiyo, kwetu musoma jamaa ni maarufu kwa jina la "INVISIBLE NYERERE". Nategemea atafanya makubwa sana Arumeru Mashariki!
 
Huyu jamaa ki ukweli nimemkubali!!
Watu wazima wote wamepigwa midomo!!
 
Hapo Chadema wamelamba dume, Mwigulu pamoja na makeke yake siku hizi amepotezwa vibaya sana wala hasikiki.
 
Hapo Chadema wamelamba dume, Mwigulu pamoja na makeke yake siku hizi amepotezwa vibaya sana wala hasikiki.

MWIGURU hana mpya, kazi anayoijua ni kununua wapigakura siyo kujenga chama chake. HUYU NI Mwizi wa wake za watu. Hata hilo jina analotumia siyo lake. YEYE NI MNYIRAMBA, LAKINI JINA LA KISUKUMA. MUULIZENI KALIPATA WAPI?
 
Jaman vipi Nchemba bado yuko arumeru? msimu huu simsikii kabisa au kaacha yale mambo yake?
Simwamini sana inawezekana anawalia racket tu waliooa...
Na yule jamaa wa bunduki kiunoni mwenyekit wa club yangu msimu huu vipi? ha ha haaa
 
Hapo Chadema wamelamba dume, Mwigulu pamoja na makeke yake siku hizi amepotezwa vibaya sana wala hasikiki.

Turufu pekee aliyobaki nayo Mwigulu hivi sasa ni kuchukua vijana wa kwenye vijiwe vya kuvutia bangi anawanywesha Gongo na kuwavutisha bangi alafu anaenda nao kwenye mkutano eti ni wafuasi wa CCM
 
Ukitaka kujua utata wa Vicent muulize Mkapa...nasikia mkapa amesema haendi tena arumeru mashariki maana safari hii anahisi atavuliwa nguo kabisaa...Vicent ni kiboko na nimejiaminisha kwamba jimbo hilo sasa ni la chadema...
 
Yeah anaitwa Vicent Kiboko Nyerere.
 
Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu
 
labda umefika wakati chadema wampe baadhi ya kazi za muhimu ndani ya chama?jina lenyewe ni karata tosha!
 
Turufu pekee aliyobaki nayo Mwigulu hivi sasa ni kuchukua vijana wa kwenye vijiwe vya kuvutia bangi anawanywesha Gongo na kuwavutisha bangi alafu anaenda nao kwenye mkutano eti ni wafuasi wa CCM

Huyu mwigulu si ndie mwizi wa wake za watu?
 
MWIGURU hana mpya, kazi anayoijua ni kununua wapigakura siyo kujenga chama chake. HUYU NI Mwizi wa wake za watu. Hata hilo jina analotumia siyo lake. YEYE NI MNYIRAMBA, LAKINI JINA LA KISUKUMA. MUULIZENI KALIPATA WAPI?

Amelinunua mkuu, popote akijitokeza kila mmoja wetu amuulize hili swali, kiapo cha kubadili jina kinhusu anayebadili jina, ni vipi amembadilisha jina baba yake, na marehemu babu yake bila idhini yao? jina lake kamili ni lameck madelu. narudia mara nyingine tena, muda unakuja tutamfutia vyeti vyake vyote, kazi pekee ambayo hatutamzuia kufanya ni kilimo, muda huo unakuja kwa kasi! ukijumlisha na uhusika wake kwenye siasa za tindikali igunga, sioni atakwepea wapi kunyea debe!!!!
 
Back
Top Bottom