Vicent Kiboko Nyerere ni namba nyingine!

Ni Mbunge wangu wa jimbo la Musoma Mjini. Ni kijana machachari asiependa kujionyesha wala kujikweza. Anazijua vizuri sana siasa chafu za bongo hasa zile majitaka za magamba na anazicheza vyema. Kijana yupo focused sana katika siasa za maendeleo etc kwa wale msiomjua habari ndio hiyo, kwetu musoma jamaa ni maarufu kwa jina la "INVISIBLE NYERERE". Nategemea atafanya makubwa sana Arumeru Mashariki!

Ukizungumza maneno haya kwa sie wenye akili wachache hatukuelewi kabisa. Mie mwenyewe na mashaka na upeo wa Vicent kwani hata shule yake ndogo sana mkuu, soma cv yake iliisha wekwa humu jamvini. Jamaa ni mweupe na mwepesi Kama pamba
 
Asante kamanda Mbowe neno weupe CCM wanalichukulia kwa uzito wake 30 in 1, suala la shule ya VN wewe huwezi lijua anayelijua ni Mkapa kamuulize.
 
Ukizungumza maneno haya kwa sie wenye akili wachache hatukuelewi kabisa. Mie mwenyewe na mashaka na upeo wa Vicent kwani hata shule yake ndogo sana mkuu, soma cv yake iliisha wekwa humu jamvini. Jamaa ni mweupe na mwepesi Kama pamba

Akili yako kwa mizani ya CCM inatosha. Lakini miaka 50 ya uhuru nchi inatambaa basi kama siyo mtindio wa fikra za CCM, wanachama wake au viongozi wake ni wazi ni upungufu wa elimu kwa kudhani kuhudhuria madarasa ya kata ndio akili
 
Mkuu Kamatikuu,

Maneno maneno matupu tu hayafai hata kidogo, mwaga picha hapa jukwaani tukalijadili kama madai yako ni ya kweli.

Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu
 
Ukizungumza maneno haya kwa sie wenye akili wachache hatukuelewi kabisa. Mie mwenyewe na mashaka na upeo wa Vicent kwani hata shule yake ndogo sana mkuu, soma cv yake iliisha wekwa humu jamvini. Jamaa ni mweupe na mwepesi Kama pamba

NAOMBA NIKUULIZE KUWA NA CV NDEEFU KAMA YA LIPUMBA NDIO KUWA NA UWEZO WA KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI NA TAIFA??? HAO WEZI WA CCM WENYE MASTERS,NA PHD (eg, Chenge, membe, Mwigilu, batilida buriani, kikwete..........list ni ndeeefu saaana ) Jiulize wamelisaidia nini taifa hili?? Unaamini kwamba mtu wa form four anaweza kuwa na vision na mission zinazotekelezeka kuliko hata graduate.... ni magraduate wangapi wako vijiweni wanalia ajira hamna(wanasubiri waajiriwe) huku watu walioishia six na form four wakiwa wajasilia mali wakubwa tu na wanamudu maisha yao vizuri sana... Yule mtaalamu wa Microsoft na Tajiri Bill gates unafahamu elimu yake?? unaonaje maendeleo yake.. kuna utofauti mkubwa sana kati ya kusoma na kuelimika. KAJIPANGE KIJANA SIYO UNATOKA POVU BILA UTAFITI.
 
Hii namba, Mkuu wa PETE YA NJANO na ulinzi kwa viongozi, ingalikwepo unafikiri angetoa maoni gani kuhusu CCM na uchaguzi wa Arumeru Mashariki?

sheikh-yahyabc.jpg
 
Hapo Chadema wamelamba dume, Mwigulu pamoja na makeke yake siku hizi amepotezwa vibaya sana wala hasikiki.
Makeke ya Mwigulu unayoyazungumzia ni yale aliyoyafanya Igunga? Du Tanzania ni zaidi ya uijuavyo Mtu anafumaniwa na mke wa mtu lakini haimpi aibu wala Kumwondolea sifa ya kuwa kiongozi. Si ajabu tunaongozwa kinyumenyume.
 
Back
Top Bottom