Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,144
- 875
Wakati mwingine kutibu makovu hakuangalii uko wapi. Bi mkubwa hakuvaa suruale utotoni na ujana ulimpita kavukavu ndo maana anauza nyago msibani. Kwa umri alionao si wakati wa kuvaa vibana ma*a*io
Eh Mungu tujaalie tupate vazi la taifa haraka lenye kulinda hadhi ya mwanamke wa kiafrika mwenye thamani
Mambo yalivyo sasa hata vazi la Taifa liwe refu au lenye kuhifadhi maungo kiasi gani...Lazima litabanwa na kufupishwa tu a.k.a tailor-made kivazi..