Vibana makalio hadi misibani - ebu tujiheshimu ebo

kati ya hawa nani kazaliwa dar?,JK,slaa,mbowe,maalim seif,bakhresa,magufuli,papa msofe,lowasa,zitto na wengineoo.DAR kitu gani

Nilikuwa nam reply zuzu mmoja huko juu; hata siku moja uwezi kuona najivunia U dar, asili ya wazazi wangu si dar na hiyo ndo asili yangu. Na hao ulowataja juu; mbowe = msofe = lowasa wote matapeli tu, umesahau mbowe alivyotuuzia malori yake. ZITO ni kiongozi pekee makini wa magwanda. Bakhresa ni smart and rich guy, Jk ni president wetu hata kama babu padre hataki.
 
Imekugusa kwa kuwa bibi alovaa hiko kibana matko ni wa magwanda.
na hawa ni kina nani?
Twanga.JPG
 
Huyu Shehe ni kama yule MwanaMfalme wa Saud Arabia aliye muua mfanyakazi wake wa kiume London kisha kakataa kumfanya kinyume?
au waarabu Ulaya ndio waliojaa kwenye sehemu za kukaa Utupu au sehemu za starehe za ufuska hasa wanaume
wakirudi kwa Masheikh wakubwaaa... wanajidanganya
 
huyu amekosea jamani hii si sahihi hata kidogo huyu amekosea hapa sio mahala pake kwa kuvaa nguo kama hii jamani..!
 
no bwana mi naona yupo ok ukiconsider anaenda kwenye mazishi.au kuna dress code?
 
Back
Top Bottom