Vibaka kuzunguka Ikulu, Usalama upo?

Ocean Road karibu na BOT huko sijui ni wapi??? KFC na CRDB wapi na wapi? Pdidy ww ni mgeni bado na maeneo ya posta, na hii story yako ni ya uongo???
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenisikuyamatukio Niko hapa karibuna hme kunakatoto wamekakuta ndaniya nyumba wahusika walikuwa kanisani lwenye maombi!!day Mungu anajibubana!!!wamekata Nondo ya dirisha wakakaingizq ndani huku kanapekua vitu kanawapelekea wezi Via dirisha!!log aibuhiinkanadai akakai mbali ilawasikauwe!!kanajifanyakujitoa ufahamu kanaliaa tu loh!!ngojakesho tusubiri makubwa isijekuwawatotozenu mlizaa na hgl huku mkawadis
 
Ocean Road karibu na BOT huko sijui ni wapi??? KFC na CRDB wapi na wapi? Pdidy ww ni mgeni bado na maeneo ya posta, na hii story yako ni ya uongo???
!nenda kaulize askari was crdb!!!ocean road kunanjia inatokea bot kukusaidia!!!watuhawa walikuwa wanatembea!!!second KFC iko opp najengola Bima kaka kuelekea Crdb!!nmesoma forodhani!sec forodhani!!sijui nikusaidie wapi mjinihukujui!!
 
Ocean Road karibu na BOT huko sijui ni wapi??? KFC na CRDB wapi na wapi? Pdidy ww ni mgeni bado na maeneo ya posta, na hii story yako ni ya uongo???
DOHHHH MPWA NIWEWEE WANIITAHIVYO!!ANYWAY NIKUJULISHE MKUU KFC WAMEFUNGUA SEHEMUYAMAANA OPP na Jengola Bima!!ile Njia inaelekea Crdb bank mkuu ukiemdambele
 
Ni kweli pdidy ila unatuvuruga na uandishi wako jombaa utazani umekula cha ngaramtoni
 
Khaa!! Sijaona kitu kama hicho
Mie ndiyo njia yangu 5am napita kwa miguu ocean road - salenda - toure drive. Msiwatishe wananchi
 
HUKO NDIO KUNA DORIA KALI 24/7 .mamilion yanatarajiwa kuelekezwa kwenywe mabango ya kampen tungenunua camera tungeziweka street zingesaidia kupambana na hivi vitendo
 
!nenda kaulize askari was crdb!!!ocean road kunanjia inatokea bot kukusaidia!!!watuhawa walikuwa wanatembea!!!second KFC iko opp najengola Bima kaka kuelekea Crdb!!nmesoma forodhani!sec forodhani!!sijui nikusaidie wapi mjinihukujui!!

naiijua City Center vizuri Pdidy, hakuna Crdb ocean road. KFC wapo jengo la Diamond Plaza opposite NIC na Wizara ya Afya, hakuna jengo la bima pale bwana???

Hata BOT ilipo hupajui mzee!:thumbdown:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu .. Pdidy Kuna wakati hapo ocean polisi walikuwa wamepiga kambi, sahv hawapo au
 
Last edited by a moderator:
Kumekuwa na ujambazi was kutumia visu namapanga!!majuzi shemejio alinipigia nikamchukue ifm!!nilipopita oceanaroad nikakuta MTU anaporwa pikipiki walipoona nasimama wakakimbilia upande was bfoward!!nkawatonya jamaa walinzi nikarudinao nikakuta jamaa wamemkata mkono awezikuendesha tukapiga ukunga wakajaa watu tukasubiri defender wakambeba!! Maisha borakwa kilamtz!bado was Amboni awajafika loh wakivuka KWAHERI PWANI KARIBU DSM LOH SHIDAA

mkuu umefanya jambo la maana sana ila na imagne hapa ulivyokua unapiga ukunga
 
Ni ShIdAaaaa. BlAza Pdidy iS The BeAst noT Ze Best....
MessAgE NiMeiPatA SAiV nTakUwa NapiTia Njia Za Juuu Tuu. PAaLe OcEan RoaD nShShuHudIa MTu AkIliWa 0713 jiOnI nA vIBaka

wewe simol pididi aliekua analiwa tigo ni mdada au mkaka mbona ukumsaidia kama kaka ako alivyotoa msaada
 
Vijana 6 wamekamatwa usikuhuu baada ya kuhusika Na wizi wa kumtishia muuza sigara na Karaanga maeneo ya ocean road kuelekeabot vijana hawa walimtishia hiyu muuzaji was sigara akiwa napakiti kumizasigara na Karaga zisizozidi za sh5000!!! Baada ya kuonyeshwa panga na kisu aliwakabidhi mzigo nakutishiwa kuuwawa kama atapigakelele!!!kijana akajificha sehemu alipoona pikpik akaombamsaada wakaenda kuwasubiria maeneo ya KFC!!!hapo ndipo kijana akishirikiana nawalinziwengine waliokuwa wakiwasubiri kwahamu wakapiga ukunga was wezi!!wazee was crdb kamaliza kaziyao!!huku waungwana wanawarushia mawe vichwani nimeacha wnasubiri defender kuwachukua !!samahani diniyangu airuhusu kupga picha zawenye damu ningewawekea!!!muwemakini area hiyo usiku kuanzia saamoja!!!!
hahaha, dini yako hairuhusu kuchinja kwa jina la mungu. wangekuwa watoto wa mudi hapo, wangeonyesha hadi jiwe linavyorushwa na kupasua kichwa. mudy aliwadanganya sana hawa viumbe.
 
Huko mbona kunafahamika muda mrefu tu. Kuanzia Aga Khan beach yote ya kuelekea Ocean Road Hospital is a no go area hasa mida ya jioni. Ukipita fanya at your own risk
 
Back
Top Bottom