Vibaka kuzunguka Ikulu, Usalama upo?

naiijua City Center vizuri Pdidy, hakuna Crdb ocean road. KFC wapo jengo la Diamond Plaza opposite NIC na Wizara ya Afya, hakuna jengo la bima pale bwana???

Hata BOT ilipo hupajui mzee!:thumbdown:

Kuna NIC but hakuna Jengo la Bima? Sasa NIC ni nini basi??

Halafu point yake ni kua kuanzia maeneo hayo ukienda Mpaka unafika Ocean Road si salama, hakumaanisha kua hayo maeneo ndio iliko Ocean Road!!
 
Last edited by a moderator:

NIC=National Investment Company.

Hili ni jengo la iliyokuwa NICOL zamani!

Nayajua vizuri maeneo hatari pale ni kutoka Barack Obama Drive, (nyuma ya Ocean Road hospital), mpaka maeneo ya hospital ya Agha Khan.

Kuzunguka eneo lile ni hatari sana, vijana wamewahi kuvunja kwa jiwe kioo cha gari langu usiku???
 
Mkuu BIGURUBE, miaka yote ya kuwa na ufahamu kabla ya haya masuala ya ubinafsishaji wa msshirika nilikuwa naelewa kuwa jengo la NIC lilikuwa ni la shirika la bima kwa jina la National Insurance Corporatio.
Naomba unielimishe, ni lini waliuziwa hao NICOL!?
 
NIC=National Investment Company.

Hili ni jengo la iliyokuwa NICOL zamani!

Nayajua vizuri maeneo hatari pale ni kutoka Barack Obama Drive, (nyuma ya Ocean Road hospital), mpaka maeneo ya hospital ya Agha Khan.

Kuzunguka eneo lile ni hatari sana, vijana wamewahi kuvunja kwa jiwe kioo cha gari langu usiku???
I thought NIC ni National Insurance Company,
Perhaps Pdidy thought the same also. Ila point yake ni kua from that place to Ocean Road ni hatari, same as what you admitted here.

Haya maeneo ukija huku Barack Obama Road nakumbuka hata Mheshmiwa Mch. Msigwa (MB) walishawahi kum-tight hawa jamaa. Nachoshangaa wanafanya uhalifu huu meter chache tu from White House. Ukistaajabu ya hawa jamaa utashangaa ya wa Maskani Lebanon Ferry!

May be sometimes Mkulu hua anatokaga na kupiga nao story
 
Mkuu Shark, majengo ya shirika la bima la Taifa, moja lipo Sokine Drive/Ohio na lingine lipo Samora Avenue/Pamba Road (NHIF), pale zilipo office za Precision air???

Pale zilipokuwa studio za Clouds Fm ni jengo mali ya NOCOL ya akina Mosha na wenzake wengi:confused:

Pale Barack Obama Drive kwny viwanja vya golf ni hatari sana usiku. Kuna siku jamaa alipaki Prado yake usiku pale beach akawa anagegeda, vibaka wakaja kum-tight, akajifanya kuwatishia kwa bastola. Kilichomkuta ni siri yake???
 
Last edited by a moderator:
Pdidy katika ubora wake...

BOT ya Ocean Road ndio ipi hiyo mzee mwenyewe?
Embu nendeni mjini mtembee mkasome ramani!!!kunakeepleft karibuna oceanroad ukikunjakulia unakujampaka not!!sijui hili mnalijua amamnaendesha tumagari!!atcl wanaparking pale unalipia unatembetembea mjini mpwa
 
Mkuu Shark, majengo ya shirika la bima la Taifa, moja lipo Sokine Drive/Ohio na lingine lipo Samora Avenue/Pamba Road (NHIF), pale zilipo office za Precision air???

Pale zilipokuwa studio za Clouds Fm ni jengo mali ya NOCOL ya akina Mosha na wenzake wengi:confused:

Pale Barack Obama Drive kwny viwanja vya golf ni hatari sana usiku. Kuna siku jamaa alipaki Prado yake usiku pale beach akawa anagegeda, vibaka wakaja kum-tight, akajifanya kuwatishia kwa bastola. Kilichomkuta ni siri yake???
Siri yandani kwikwikwiiik mpwa walikula 0713\ aka 0658??
 
hahaaaaaaaaaaa Mpwa unanichekesha sana
Haaaaaahaaaaa mpwaaa yahukuuusikiakwawatuuuu wahindi wamefumuliwa ykutavibaya siriyao issue kukaausikubaharini mpaka wengine wameanzakuzoea wanaendakuwatafutavijana was kazi sasqsibora nimjulishempwamapema weraaaaaa tusirudiiinyumbaniiii na udhuuuu��
 
I thought NIC ni National Insurance Company,
Perhaps Pdidy thought the same also. Ila point yake ni kua from that place to Ocean Road ni hatari, same as what you admitted here.

Haya maeneo ukija huku Barack Obama Road nakumbuka hata Mheshmiwa Mch. Msigwa (MB) walishawahi kum-tight hawa jamaa. Nachoshangaa wanafanya uhalifu huu meter chache tu from White House. Ukistaajabu ya hawa jamaa utashangaa ya wa Maskani Lebanon Ferry!

May be sometimes Mkulu hua anatokaga na kupiga nao story
Sharknndiconachojua sijajuajamaa wameshagaiana lilejengo maskini log!!ndionamwelekezampwa bigire!!ilenjia ukiendambele unakutana najunction kuna bank ya KCB kulia!kushoto crdb!!nandipo walinziwalipowakamata nakuanzakushugulikiwa nawananchi lwamawe kichwani
 
Siri yandani kwikwikwiiik mpwa walikula 0713\ aka 0658??

Inaonekana Pdidy unapenda sana mtandao huo wa 0713:confused:

Hawakumla hiyo ila walimsaidia kugegeda demu wake na walimkomba kila kitu na kichapo kikali juu yake???
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana Pdidy unapenda sana mtandao huo wa 0713:confused:

Hawakumla hiyo ila walimsaidia kugegeda demu wake na walimkomba kila kitu na kichapo kikali juu yake???
Hahaaaa apana mpwa hiyo labdaitakuwa amriya 11. Mpwa!!!aisee najamaa naamini awanacondom kamanamwona kakakeshoyake anavyomkimboza demu tmj kupima HIV!! Hukunyumbani ndie wanajua mkemtarajiwaaaa yewooooooooooomiiiiiiyewooooomiiiiiii ngefiraaaaaaaaa mpaakaaaaa basiiiii uwiio
 
Mkuu Shark, majengo ya shirika la bima la Taifa, moja lipo Sokine Drive/Ohio na lingine lipo Samora Avenue/Pamba Road (NHIF), pale zilipo office za Precision air???

Pale zilipokuwa studio za Clouds Fm ni jengo mali ya NOCOL ya akina Mosha na wenzake wengi:confused:

Pale Barack Obama Drive kwny viwanja vya golf ni hatari sana usiku. Kuna siku jamaa alipaki Prado yake usiku pale beach akawa anagegeda, vibaka wakaja kum-tight, akajifanya kuwatishia kwa bastola. Kilichomkuta ni siri yake???

Nimekupata Mkuu,

Siku zote pale Clouds FM pa zamani walivokua wakiita "Kitegauchumi" nlidhani cha Bima, Duh umenifumbua macho Mimi na swahiba wangu Pdidy.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom