S SEKIETE Member Nov 3, 2010 9 1 May 6, 2012 #1 Habari wadau,naombeni SETUP ya VGA laptop yangu ni DELL LATITUDE E6500
The Great Genius Member Apr 23, 2012 40 11 May 6, 2012 #2 Ili siku nyingine usiumize kichwa sana jaribu kutumia Drive identifier. Inakusaidia ku identify drivers zote zinazomiss kwenye windows yako. Ukii run inaleta list ya driver zote compartible pamoja na status, then utatakiwa kudownload au ku updated kulingana na mahitaji yako. Mambo ya kuzingatia, 1. Uwe na internet connection. 2. Tambua kwanza os yako ie. Wind XP/Vista/7 (32/64bit) ili usije ukadownload driver isiyohusika. Kwa leo ni hayo tu.
Ili siku nyingine usiumize kichwa sana jaribu kutumia Drive identifier. Inakusaidia ku identify drivers zote zinazomiss kwenye windows yako. Ukii run inaleta list ya driver zote compartible pamoja na status, then utatakiwa kudownload au ku updated kulingana na mahitaji yako. Mambo ya kuzingatia, 1. Uwe na internet connection. 2. Tambua kwanza os yako ie. Wind XP/Vista/7 (32/64bit) ili usije ukadownload driver isiyohusika. Kwa leo ni hayo tu.