Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 913
- 1,128
Habari za jion wadau kama Kichwa Cha habari kinavyosema
Laptop aina dell E5430 Inaleta mistari kwenye screen ikiwa imetingishwa ila ikitulia screen inatulia je ni tatizo la screen au software
Msaada Hapa
Chief Mkwawa