Tatizo la USB Ports za Laptop

Hu Jintao

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
1,356
2,352
Habari wadau!

Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa.

Sasa nikiwasha inaniambia press F1 to continue na hiyo key inapatikana kwenye keyboard nayo haiditect.

Msaada wakuu
 
Embu tupe uwezi wake kwanza labda una tatizo la driver pia
 
Wazee ninatumia computer ya Dell windows 7. Tangu juzi imegoma kuunganisha mobile hotspot kwenye simu yangu kama inavyoonyesha kwenye screenshot. Nimejaribu troubleshootings zote lakini bado imegoma kuunganisha. Tatizo linaweza kuwa nini? Je, naweza kufanya nini zaidi ili iweze kukubali? Asante.

1708850587427.png
 
Back
Top Bottom