Uzuri wa mwanamke

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Hivi mwanamke mzuri ni yupi? Nini sifa za mwanadada mzuri? Je, kuna mwanamke mbaya? Wataalamu wa kuchambua mambo naomba kupata maoni yenu.
 
Hakuna Mwanamke aliyekuwa Mbaya wala mwanamme aliyekuwa ni mbaya. Mwanamke mbaya kwako ni mzuri kwa Mwenzako, na Mwanamme aliye kuwa mbaya kwa mwanamke mmoja na Mwanamme huyo huyo mzuri kwa Mwanawake Mwengine. Kwa Ufupi Uzuri wa Mwanamke au Uzuri wa mwanamme ni Tabia.@Tanzania Mpya
 
Kwa hiyo MziziMkavu hakuna changudoa alie mzuri?
The Beauty of a woman depends on the eyes of a beer holder.
bibie King'asti Hakuna cha changudoa

wala kiwete wala kiguru,wala kipofu, wote ni Viumbe wa Mungu. Mwenyeezi Mungu hajakosea kumuumba

binadamu na kisha kumpa nusu kiungo Nusu-nusu mwili wake kila binadamu ni mzuri. Mbaya kwako changudoa mzuri kwa

mwenzako huyohuyo changudoa. Mbaya kwako mwenye kiguru mzuri kwa mwenzako. wewe unasema wanini

Mwenzako anasema atampata lini? Ninarudia tena kusema Uzuri Mtu ni Tabia yake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
kwangu mie mzuri ni yule ambaye atafanya nijisikie kidume...mwenye kujua mwanaume anaridhishwaje kitandani na asikuwa anatumia K yake kama leverage ya kupata kitu
 
Boss, ndo hapo nauliza kwa vile uzuri wa mwanamke ni tabia, changudoa sio mzuri?
bibie King'asti Hakuna cha changudoa

wala kiwete wala kiguru,wala kipofu, wote ni Viumbe wa Mungu. Mwenyeezi Mungu hajakosea kumuumba

binadamu na kisha kumpa nusu kiungo Nusu-nusu mwili wake kila binadamu ni mzuri. Mbaya kwako changudoa mzuri kwa

mwenzako huyohuyo changudoa. Mbaya kwako mwenye kiguru mzuri kwa mwenzako. wewe unasema wanini

Mwenzako anasema atampata lini? Ninarudia tena kusema Uzuri Mtu ni Tabia yake.
 
Last edited by a moderator:
Mke mzuri:
-awe anakuvutia wewe
-awe na tabia uzipendazo na jamii pia
-awe mshauri na msaidizi wako
-akuheshimu
-msikivu na mtulivu
 
Hivi mwanamke mzuri ni yupi? Nini sifa za mwanadada mzuri? Je, kuna mwanamke mbaya? Wataalamu wa kuchambua mambo naomba kupata maoni yenu.

Nielewavyo mimi .... kila mwanaume ana chaguo lake.... kimaumbile ya muonekana kwa nje..... wako wanawake wa design nyingi.. kuna wenye maumbile tofauti tofauti... kuanzia sura, miguu, kifua, matiti, makalio,nywele, rangi kwa kweli kuna vitu vingi ambavyo mwanamume anakuwa na chaguo analolipenda............kwa hiyo hakuna mwanamke mbaya..............wewe ukimuona mbaya wenzako wanasema watampata lini........mfano kuna wanaopenda wanawake wenye matiti makubwa.... na wengine wanapenda maziwa madogo (matiti) wengine wanamindi miguu mwembamba na wengine wanapenda miguu ya bia kila mtu kivyake vyake inategemea........ lakini katika yote hayo mwanamke mzuri ni tabia hasa ya uvumilivu, mwenye kutoa ushauri, mwenye upendo wenye huruma na tabia njema mahali popote anapokuwepo ndani na nje ya nyumba yake......na akiwa mcha Mungu anapata sifa kuu nyingine

Hakuna universal definition ya mwanamke mzuri,uzuri wa mwanamke unategemeana na interest za mtu wake.kizuri kwako kinaweza kuwa kituko kwangu.
 
Hivi mwanamke mzuri ni yupi?
Neno "uzuri" ni kivumishi cha sifa, vilevile hutabanaisha ulinganifu, ni sawa kabisa na maneno kama urefu, ubaya n.k.
Kutambua uzuri wa mwaname ilwe kwa sura, mwenendo au mwonekano ni wajibu wa huyo mtafutaji kulingana na vigezo vinavyokidhi mtima wake. Unapoona mtu anasema huyu mwanamke ni mzuri, tambua kuwa kajaribu kumlinganisha na wengine wote ambao kajaaliwa kuwaona na kwake yeye huyo ndiye aliyekidhi vigezo kadha wa kadha.
Kwa mantiki hiyo basi, kila mwanamke ni mzuri kulingana na vigezo vya mwanaume husika.

Nini sifa za mwanadada mzuri?
Hili swali ni jepesi kama utamuuliza mwanaume mmoja mmoja. Mwanamke ninayempenda mimi watu8 siye anayependwa na @Mzizi Mkavu au Mtambuzi.
Ila binafsi ninaamini katika sifa kuu tatu nazo ni urembo(umaridadi), tabia njema na ucha Mungu.

Je, kuna mwanamke mbaya?
Kama yupo mwanamke mzuri basi lazima mbaya atakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwanamke mzuri ni yupi?
Neno "uzuri" ni kivumishi cha sifa, vilevile hutabanaisha ulinganifu, ni sawa kabisa na maneno kama urefu, ubaya n.k.
Kutambua uzuri wa mwaname ilwe kwa sura, mwenendo au mwonekano ni wajibu wa huyo mtafutaji kulingana na vigezo vinavyokidhi mtima wake. Unapoona mtu anasema huyu mwanamke ni mzuri, tambua kuwa kajaribu kumlinganisha na wengine wote ambao kajaaliwa kuwaona na kwake yeye huyo ndiye aliyekidhi vigezo kadha wa kadha.
Kwa mantiki hiyo basi, kila mwanamke ni mzuri kulingana na vigezo vya mwanaume husika.

Nini sifa za mwanadada mzuri?
Hili swali ni jepesi kama utamuuliza mwanaume mmoja mmoja. Mwanamke ninayempenda mimi watu8 siye anayependwa na @Mzizi Mkavu au Mtambuzi.
Ila binafsi ninaamini katika sifa kuu tatu nazo ni urembo(umaridadi), tabia njema na ucha Mungu.

Je, kuna mwanamke mbaya?
Kama yupo mwanamke mzuri basi lazima mbaya atakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwanamke mzuri ni yupi? Nini sifa za mwanadada mzuri? Je, kuna mwanamke mbaya? Wataalamu wa kuchambua mambo naomba kupata maoni yenu.

Mi kwa mtazamo wangu nadhani mwanamke mzuri ni lazima awe mcha Mungu, mwenye tabia njema, anayependa watu, mkarimu,mwenye upendo wa dhati, na kila sifa iliyo njema machoni pa watu na hata mbele za Mungu pia.
 
Wanawake wangi wanapenda sana kuwa weupe na wanatumia fedha kuupata weupe. Je, wao wanadhani weupe ni credit kubwa ktk kuchangia uzuri wa mwanamke?
 
Back
Top Bottom