uzoefu wa kudownload pc games

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,603
habari wana jukwaa naenda direct to the point kwamba mimi ni mpenzi wa pc fifa,pes, games ila ni mwezi kila nikijaribu kudownload naibiwa GB TU .kama fifa 16 linadownload alafu kwenye kuactivate key linasema sorry no offers for your country . pia kama gta vicecity ndo kabisa linadownload halafu linagoma. msaada jamani naamin nitapata solution hapa. natanguliza shukran wakuu ili namimi nienjoy dunia jamani ya games
 
Game una download wap?

Anza kutumia torrent site

Download hii setup BitComet - A free C++ BitTorrent Download Client hapa

Kisha install ukimalza ingia hapa

Popular 24 hours Game Torrents | 1337x

Search game unalotaka,hakikisha unapkua game yenye seeders wengi
 
mkuu unafungua tu thread ila matatizo si kwenye hizo site bali ni kwenye pc yako.
1. ant virus kula crack
2. ukosefu wa direct x
3. ukosefu wa .net framework
4. ukosefu wa c++ distributable
5. uwezo wa kucopy hizo crack na kuweka kwenye folder la game etc.

tembelea huu uzi unaweza kusaidia.
Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games
 
habari wana jukwaa naenda direct to the point kwamba mimi ni mpenzi wa pc fifa,pes, games ila ni mwezi kila nikijaribu kudownload naibiwa GB TU .kama fifa 16 linadownload alafu kwenye kuactivate key linasema sorry no offers for your country . pia kama gta vicecity ndo kabisa linadownload halafu linagoma. msaada jamani naamin nitapata solution hapa. natanguliza shukran wakuu ili namimi nienjoy dunia jamani ya games
Achana na vice city ilo tulilicheza kitambo tukiwa primaly
Watu wapo GTA 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom