Napenda game za mpira kwenye PC

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,601
Habari wakuu napenda game za ppc lakini kila nikijaribu kudownload kama GTA vicecity lina kula mb zangu kama GB 1.7 lakini hakuna mafanikio zaid file linakuwa complete alafu naambiwa kwa game files cracked with virus sasa sijui cha kufanya either ni kwa sababu nina program ya smadav ant virus au ...msaada jamani napenda haswa na mpira kwenye PC
 
Unadownloadia site gani game zako.

Ukiwa unadownload cracked software na kuinistall inashauriwa kudesable antivirus zako.

Ukidownload vitu vya wizi, antivirus developer huwa wanalipwa na watu wa software kuharibu mali zao zinazoibiwa.
 
Na download free games ocean games xaxa labda ni ant virus
 
Back
Top Bottom