Uzinduzi wa noti mpya BoT 2010

Bro, go to your law firm and wait we gonna call you when we need you. This is freaknomics, you can say all theoris, but if i were you, I would just seek an understanding here. That is what we do on this underground rail road, ecom forum. However, on this great future, please dont forget your friends. and please, we will not kick you out, but rather we seek to help. but then, you have already jump to conclusion. I dont know your discipline but then, no one incourage that kind of hasty generalization of yours. I like you tho. dont get me wrong, i am just try to help the brother thats all. Kikwete actually is a right person as of today. so, lets talk how to help him. he actually stand for the samething that my buddy was preaching. forget the currency, Most countries have allowed to print, Just like New york. So, ukitaka nishushe vitu kama nyuzi, Use FB Jammi forums and i will see what i can do for Bro? Please only one time question. Gracias seneor Pussycat :)))) no ofensi pakashume :p

wee mwehu nyoosha kiingereza chako kwanza au kama vipi ongea kiswahili utaeleweka tu kwa sababu nina uhakika kwa kiingereza hiki wewe ni mswahili kwa hiyo una uwezo wa kuongea kiswahili tosha...kujishaua tuu..
 
Sio leo kaka mtu, ni kesho Ijumaa. Nasikia wanatuletea noti ya 100,000 na pia itakuwa haina sign ya Mramba wala Balali . Hebu tusubiri tujione.

Aisee usilete masikhara jamaa yangu yaani nilipwe noti 3 tu kwa mwezi uuuwiiiiii twafa na Mkwere! Hivi alisoma uchumi gani huyu jamaa mbona mambo yamemshinda? Na kalivyo na kiburi hata hakataki kwenda kupata ushauri kwa Mkapa kujua yeye alifanyaje mpaka hakuweza kutengeneza noti ya hela kubwa kiasi hicho!! Kwa kweli tuna shida sisi wa-TZ yaani mitaani 10,000 ndo ya kufikia!
 
Mimi nilivyoisikia hii habari asubuhi, kwa kwelinilishikwa na wasi wasi mkubwa sana. Maana nilikua na maswali lukuki ambayo hayana majibu hadi hapo keshi zitakapozinduliwa. Sasa mi noti mikubwa namna hiyo ya nini? Kwa nini wachumi wasiweze kukaza na kushusha hizi zilizopo badalaya kupandisha? Angalia wenzetu Kenya noti yao kubwa ni 1000. Unajua kule
zimbabwe kwa sasa hawatumii tena pesa yao, kwa sasa wameadopt USD, Rand na Pura, tena ni officially used katika manunuzi yoyote. Sasa natafakari huku tunakoelekea wakati tunatakiwa kutumia sarafu moja kwa nchi za africa mashariki, je itakuwaje hii mi noti yetu yenye namba kubwa? Kwa kweli ni masikitiko na kama ingekua ni amri yangu ningewazuia wasifanye hivyo kwa kweli
 
Gavana wa benki kuu ya tanzania, ametangaza kuzinduliwa kwa note mpya zitakazo anza kutumika ifikapo january 2011, sababu ya kubadili mwonekano wa note hzi mpya ni kuweka usalama katika kughushi fedha bandia, hela hzi mpya zitakuwa na alama zaidi ya 3 za usalama hvyo itapelekea kuwa vigumu kuzi ghushi.

Note hzo zitakuwa na size ndogo ili kurahsisha utunzaji wake.

Source: Habari ya ITV
 
Zina picha za JKN na Rais wa kwanza wa Zanzibar,Abeid Aman Karume.
JKN ( Julius Kambarage Nyerere)
 
hizo feki naona ni za hao hao wanataka kuondoa walizozimwaga wakati wa kumtafutia ulaji huyo Mkwere.
 
duh nadhani pia itungwe sheria ya utunzaji wa fedha manake kuna wakati unapewa fedha chafu imechoka mpk unatamani uikatae
 
Should learn and understand politics,in 2005,money loundering took place and diffused in fake notes for elections it killed the economy and 2010 certain political party had lot of fake notes and now it is difficult to control,the best alternative is to raise new notes so as to destroy their fakes, ask yourself on immediacy of introducing such notes in early January?senseless.
 
This is a total political idiosyncracy! The bad thing is that they never asure us of counterfeit notes! They just say this version of notes has so and so security aspects difficult to imitate??? The next day you walk around a transaction before you face a foul play of a damn counterfeit note!
 
Should learn and understand politics,in 2005,money loundering took place and diffused in fake notes for elections it killed the economy and 2010 certain political party had lot of fake notes and now it is difficult to control,the best alternative is to raise new notes so as to destroy their fakes, ask yourself on immediacy of introducing such notes in early January?senseless.

MBona mapema sana si juzi uchaguzi umeisha inmaan walitoa makusudi hizo feki huku wakiwa na mpango kamaili wa kubadilisha ?
 
ukitaka kupata hela iliyotumika kikweli (noti chafu na nzee), tembelea kasulu au kibondo
 
ukitaka kupata hea ya ilyotumika kikweli (noti chafu), tembelea kasulu aua kibondo

do! mi simo japo watani zangu wanaotembea na gari la chuma na barabara zao kwa sasa hazipitiki nadhani tusiwapelkee kwanza watazipataje

muhimu!
je wamewakumbuka walemavu wa macho kwamba wanaweza kupapasa wakaelewa ni shiringi ngapi
 
Ina maana Gavana wetu hajui kwamba Uingereza hawatumii Euro, Maana anaposema karatasi iliyotumika katika kutengenezea note mpya ni ile inayotumika kutengeneza dola ya marekani na euro ya uingereza

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom