Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Wanaonesha Chanel gani au TV gani
Iringa umeme umekatwa, m2juze kinachoendelea makamanda, laana ya watz itawatafuna magamba kwa hizi hujuma zenu za waziwaziMkuu we hakikisha simu yako ama pc yako iko vizuri, crashwise atawakilisha vizuri. Hawa tanesco wanaweza kufanya hujuma ya kukata umeme ili wananchi wasishuhudie live kinachotokea Leganga. Nimeambiwa wamekata umeme mwanza, huko Arusha sijui kama wataacha umeme uwake!
Iringa umeme umekatwa, m2juze kinachoendelea makamanda, laana ya watz itawatafuna magamba kwa hizi hujuma zenu za waziwazi
Makamanda wengi wameshawasili.
Zitto, Mbowe, Msigwa, Natse, Nyerere, Lema, Grace kiwelu, Suzan, Joyce, Esther, na wengine wapo njiani....
View attachment 48971
Pole kwa safari mkuu na asante kwa kutujuza yaliyojiri. Tunasubr saa 9 nasituwe liveBaada ya safari ndefu toka Mbeya hatimaye nipo eneo la tukio ambapo uzinduzi unafanyika hakika mambo si mabaya.
Wanaonesha Chanel gani au TV gani
Mkuu we hakikisha simu yako ama pc yako iko vizuri, crashwise atawakilisha vizuri. Hawa tanesco wanaweza kufanya hujuma ya kukata umeme ili wananchi wasishuhudie live kinachotokea Leganga. Nimeambiwa wamekata umeme mwanza, huko Arusha sijui kama wataacha umeme uwake!
Pole kwa safari mkuu na asante kwa kutujuza yaliyojiri. Tunasubr saa 9 nasituwe live
startv wataonesha kuanzia saa tisa. nmeangalia sasa hivi bado wanapiga mziki channel O. Si mda mrefu watajiunga.