Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

CCM wameshchanganykiwa ndo maana hata hawaeleweki hata tarehe ya uznduz wao. Wameshapoteza dira ktambo sana.

Tunaendelea kuwamonitor kwa karibu sana kwani tunafahamu pamoja na mambo mengine wanayoyapanga kuyafanya kwa nguvu zote ni kujitangazia ushindi kinyume na matokeo ndani ya sanduku la kura.
Tunawafuatilia kwa karibu mipango yao yote wanayoifanya kwa kushirikiana na msajili wa vyama, mkurugenzi wa halmashauri ya arumeru, tiss, polisi, nec, uhamiaji na takukuru.
Safari hii hawana pa kutokea tutakwenda nao ng'adu kwa ng'adu!
 
nilisikia kuna media zitakua zikionyesha live tukio zima ikiwemo star tv ni yakweli hayo wakuu?
Ninkweli mkuu...Startv itarusha kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na mbili...na kuna radio station hapa arusha nazo zitarusha ikiwemo MJ FM....na JF hatuko nyuma mtapata kila kitu
 
Siyo Arumeru safari hii tumewashika jiulize mlikuwa mzindue jana mkashindwa mkasema mtanzidua leo mkashindwa sasa nasikia mnazindua jumatatu...mnalo safari hii
Ni mambo ya kujipanga tu....
Arumeru hatuhitaji kutumia nguvu kubwa cuz tunakubalika!
Vipi, mmeshasolve matatizo ya kifedha yanayowakumba?
 
kurudisha form.JPG
Siku ya kurudisha form ilivyokuwa....
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni mambo ya kujipanga tu....
Arumeru hatuhitaji kutumia nguvu kubwa cuz tunakubalika!
Vipi, mmeshasolve matatizo ya kifedha yanayowakumba?

vipi mbona mnasita sita kuzindua kampeni?
Ilikuwa jana mkasema leo, leo tena imekua jumatatu..
Halafu inasemekana SIOI sio mtanzania hili mmeshali solve?
 
vipi mbona mnasita sita kuzindua kampeni?
Ilikuwa jana mkasema leo, leo tena imekua jumatatu..
Halafu inasemekana SIOI sio mtanzania hili mmeshali solve?
Kume inasemekana???
halafu msiwe wagumu sana kuelewa...soma hii statement hapa "all the official organs responsible for dealing with citizenship issues in the country have confirmed that Sumari is a citizen"
 
Sijawai kuona msafara huu kweli chadema ni nouma!!!!!!!! Imebidi ffu waongoze wagari wamekuwa wapole.
 
Makamanda wengi wameshawasili.

Zitto, Mbowe, Msigwa, Natse, Nyerere, Lema, Grace kiwelu, Suzan, Joyce, Esther, na wengine wapo njiani....

Kamanda tunakukubali kwa kuripoti matukio live kutoka Arusha....
We appreciate mchango wako katika mageuzi nchi hii.
 
Uzinduzi wa Uchaguzi huu utakuwa wa kutisha. Hata magamba wengi wamesema watahudhuria maana na wao hawataki kuongozwa na MKENYA!
 
Back
Top Bottom