Muanzisha mada Crocodiletooth uzi wako ni mzuri. Binafsi, nimechelewa kuuona.

Nami naongezea: kutafuna punje 2 za karafuu kila siku inakuondoshea kabisa shida za meno. Watu wengi siku hizi wanaumwa sana meno.

Pia kuna daktari yeye hang'oi meno. Mambo ya kung'oa meno ni utaalam wa kizamani.
 
Dawa ya gesi inayosababishwa na kula maharage au nafaka zingine za kunde tafadhali
Kuna jani fulani kimeshatupiwa hapa awali linatibu gas za tumbo kwa 100%" au wafuate masai kuna mzizi fulani huwa nayo minene usawa wa kidole meupe huliwa maganda yake ya nje nayo ni nzuri mno kwa gas za tumbo.
 
Faida baada ya kusaga kusaga mbegu ya parachichi na kuitumia kama kinywaji kwenye maji ya vuguvugu.
=========================
B est remedy for hypertension, high blood pressure and hyperlipidemia as well as hyperglycemia. It boosts your immune systems tremendously and gives your skin a youthful glow.
 
Back
Top Bottom