Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 335
Ni kweli mifupa ya nguruwe inaondosha majini ndani ya nyumba?
Nakuombea kwa M/Mungu upate muda utusaidie me nataman kuitwa mama jmn nimechoka hali hii
Shusha mzigo mkuu......Kwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...
Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya
Unatoa magandaLow sperms count for men:-
Saga papai bichi na mbegu zake weka na maji safi kiasi uwe unatumia mchanganyiko huu asb na jioni baada ya siku 30 utapata matokeo yake.
Ndiyo!Unatoa maganda
Huu mgagani Ni huu mmea unapatikana kanda ya ziwa au siyo????Kumbe ni dawa ya biashara inshaallah
Ni mboga mkuu hata sokoni ipo, ispokuwa unatakiwa upate iliyo shambani.Huu mgagani Ni huu mmea unapatikana kanda ya ziwa au siyo????
Kumbe dah, maana wadogo zetu wadogo tu lakini unaweza waamkia kwa hali zao!Akapime homa ya ini sio kila kitu ni uchawi..... homa ya ini ina dalili hizo pia mkuu
Penda kunywa chai yenye asali na tangawizi, itakusaidia sana, kuwapa nguvu mgambo namba moja, waliopo vinywani kupambana na vinavyoingia, kama first aid, wenye tiba maridhawa watakuja hapa.Habari wadau, naomba msaada kwa mtu anaye sumbuliwa na mafindo findo sugu/tonses amesha tumia sana dawa za hospital ila tatizo lina tulia na kujirudia
Kushinda "mbilizi" na "nkaka" na "kitu ntu"!!?Huu kwetu tunaita mravumba ni mzuri ila ni mchunga sana
Tangu nimeanza kutumia chai ya tangawizi asali na ndimu..najisikia vizuri sana..mwili uko poa kabisa.Penda kunywa chai yenye asali na tangawizi, itakusaidia sana, kuwapa nguvu mgambo namba moja, waliopo vinywani kupambana na vinavyoingia, kama first aid, wenye tiba maridhawa watakuja hapa.
Niashara na c&pUzi mzuri, nadhani ungependeza zaidi ungetumia lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
Matibabu ya homa ya Ini kama unajua nisaidie atumie nini? Ili kama ipo iishe kabisaAkapime homa ya ini sio kila kitu ni uchawi..... homa ya ini ina dalili hizo pia mkuu
C and P ndio njia ya kujifunzia mambo hata vitabu vyetu mashuleni vimeshaandikwa na wazungu miaka hiyo waligundua mimea wakaipa majina wakaitafiti majibu yakafafanuliwa ni mwafrika gani aliyegundua Pai squares radius haemoglobin nucleic, Kusema ndio njia ya kujifunza (vitabu vimeshaandikwa mengi)