Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,206
- 2,962
DAMU YA HEDHI ISIYOKOMAUnataka kujua siri za mpenzi wako ama mwenzi wako?? Hii hapa dawa yake
Kata mzizi wa mmbaazi ule unaolekea chini, Kata kwa manuizi ya kunuia sema nimekuja kukuchukua wewe mfichua siri, nenda, kafichue siri za fulani (unamtaja jina), Kisha muwekee kwenye mto anaolalia ataropokwa yote.....View attachment 2281915
Chemsha mizizi ya mbaazi na ndimu3,unazipasua na unachemsha pamoja
Hakikisha inachemka vizuri
Kunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa week 1......
Kisha njoo utupe mrejesho hapa