Uzi maalumu wa Darasa la Mafundisho ya Ndoa

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Karibu katika uzi maalumu wa kuelimishana masuala yanayohusu ndoa katika jamii zetu.

Ndoa ni katika mambo muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu. ndoa imebaba nusu nzima ya maisha ya mwanadamu baada ya kwisha barehe.......

Hivyo suala la ndoa alihepukiki katika maisha yetu ya kila siku.

Ndugu msomaji nakukaribisha katika uzi huu maalumu kupeana nasaha na ushauri juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ndoa....

Waleykum Salam
marriage-wallpaper-2000x1333.jpg
 
DARASA NO 1; MAANA YA NDOA, UMUHIMU NA ATHARI ZAKE KIJAMII.

MAANA YA NDOA.
Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii.

Kisheria: ni mkataba wa hiari wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kuzingatia sharti na taratibu zilizoweka na jamii husika

UMUHIMU WA NDOA KIJAMII.

i. Kuhifadhi jamii na zinaa

- Ndoa hukinga wanandoa na jamii kwa ujumla na zinaa kwa kuhifadhi tupu zao na kukidhi matamanio baina yao.

ii. Kuendeleza kizazi cha mwanaadamu kwa utaratibu mzuri

- Lengo la ndoa pia ni kuhifadhi, kutunza na kuendeleza kizazi cha mwanaadamu bila kuzaliana kiholela.Hapa pia usaidia ustawi wa jamii

iii. Kujenga mapenzi, huruma na ushirikiano katika familia

- Ndoa huleta utulivu katika moyo kati ya wanandoa na kupatikana huruma, mapenzi na ushirikiano baina yao

iv. Kukuza uhusiano na udugu katika jamii

- Uhusiano na udugu kati ya wanafamilia walioana huimarika na kuongezeka zaidi kuwa ukoo, kabila, taifa, n.k

v. Kukilea kizazi katika maadili

- Ndoa inakusudiwa kuwa kiungo cha kulea na kuelimisha kizazi katika tabia na maadili mema.

vi. Kumuendeleza mwanaadamu kiuchumi

- Ndoa huchochea wanandoa na wanajamii kwa ujumla kujijenga kiuchumi ili kukidhi mahitaji muhimu ya kimaisha na kibinaadamu.

ATHARI (MADHARA YA KUTOKUOA)

Kuenea kwa magonjwa ya zinaa mfano, maambukizi ya UKIMWI. nk, kizazi kisicho na maadili, kukosekana kwa malezi kwa mtoto, watoto wa mitaani, kuingezeka kwa ongezeko la watu tegemezi (dependents population) , kutokuwa na muunganiko , upendo, na mshikamano katika jamii, n.k
1699780419369.jpg
 
Darasa No:1 Maana ya Ndoa, umuhimu na athari zake kijamii.
Maana ya Ndoa:
Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii.

Kisheria: ni mkataba wa hiari wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kuzingatia sharti na taratibu za Kiislamu.

Umuhimu wa ndoa katika Uislamu

i. Kuhifadhi jamii na zinaa

- Ndoa hukinga wanandoa na jamii kwa ujumla na zinaa kwa kuhifadhi tupu zao na kukidhi matamanio baina yao.

ii. Kuendeleza kizazi cha mwanaadamu kwa utaratibu mzuri

- Lengo la ndoa pia ni kuhifadhi, kutunza na kuendeleza kizazi cha mwanaadamu bila kuzaliana kiholela.Hapa pia usaidia ustawi wa jamii

iii. Kujenga mapenzi, huruma na ushirikiano katika familia

- Ndoa huleta utulivu katika moyo kati ya wanandoa na kupatikana huruma, mapenzi na ushirikiano baina yao

iv. Kukuza uhusiano na udugu katika jamii

- Uhusiano na udugu kati ya wanafamilia walioana huimarika na kuongezeka zaidi kuwa ukoo, kabila, taifa, n.k

v. Kukilea kizazi katika maadili

- Ndoa inakusudiwa kuwa kiungo cha kulea na kuelimisha kizazi katika tabia na maadili mema.

vi. Kumuendeleza mwanaadamu kiuchumi

- Ndoa huchochea wanandoa na wanajamii kwa ujumla kujijenga kiuchumi ili kukidhi mahitaji muhimu ya kimaisha na kibinaadamu.

Athari (madhara) ya kutokuoa

Kuenea kwa magonjwa ya zinaa mfano, maambukizi ya UKIMWI. nk, kizazi kisicho na maadili, kukosekana kwa malezi kwa mtoto, watoto wa mitaani, kuingezeka kwa ongezeko la watu tegemezi (dependents population) , kutokuwa na muunganiko , upendo, na mshikamano katika jamii, n.k
View attachment 2811449

Ndoa ni njema ila sio kwa watu wote,pia hata kwenye ndoa magonjwa yanaingia kama wana ndoa hawatakua waaminifu.
 
Mimi nasema ndoa tamu ni ile ya baina ya mwanamke submissive (mtiifu kwa mume) na mwanaume anaemjali mke na watoto wake.

Siku hizi kuna janga la 50/50 yani kila mtu anataka kua mtawala ndani ya nyumba ni mwendo wa kuviziana tu.

Mwanamke anaingia katika ndoa kwa lengo la kupata nusra ya ndoa tu lakini moyoni ana mwanaume wake wa ndoto zake. Haishi kufanya vibweka akiamini mkitalikiana mtagawana mali akajivinjari na mabwana zake.
 
Darasa No:1 Maana ya Ndoa, umuhimu na athari zake kijamii.

Maana ya Ndoa:
Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii.

Kisheria: ni mkataba wa hiari wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kuzingatia sharti na taratibu zilizoweka na jamii husika

Umuhimu wa ndoa kijamii.

i. Kuhifadhi jamii na zinaa

- Ndoa hukinga wanandoa na jamii kwa ujumla na zinaa kwa kuhifadhi tupu zao na kukidhi matamanio baina yao.

ii. Kuendeleza kizazi cha mwanaadamu kwa utaratibu mzuri

- Lengo la ndoa pia ni kuhifadhi, kutunza na kuendeleza kizazi cha mwanaadamu bila kuzaliana kiholela.Hapa pia usaidia ustawi wa jamii

iii. Kujenga mapenzi, huruma na ushirikiano katika familia

- Ndoa huleta utulivu katika moyo kati ya wanandoa na kupatikana huruma, mapenzi na ushirikiano baina yao

iv. Kukuza uhusiano na udugu katika jamii

- Uhusiano na udugu kati ya wanafamilia walioana huimarika na kuongezeka zaidi kuwa ukoo, kabila, taifa, n.k

v. Kukilea kizazi katika maadili

- Ndoa inakusudiwa kuwa kiungo cha kulea na kuelimisha kizazi katika tabia na maadili mema.

vi. Kumuendeleza mwanaadamu kiuchumi

- Ndoa huchochea wanandoa na wanajamii kwa ujumla kujijenga kiuchumi ili kukidhi mahitaji muhimu ya kimaisha na kibinaadamu.

Athari (madhara) ya kutokuoa

Kuenea kwa magonjwa ya zinaa mfano, maambukizi ya UKIMWI. nk, kizazi kisicho na maadili, kukosekana kwa malezi kwa mtoto, watoto wa mitaani, kuingezeka kwa ongezeko la watu tegemezi (dependents population) , kutokuwa na muunganiko , upendo, na mshikamano katika jamii, n.k
View attachment 2811449

POINT OF CORRECTION

i. Kuhifadhi jamii na zinaa
HAPANA.
Njoo makazini uone wale wanandoa wanaishi mbali na ndoa zao (mke Dom na mume dar) wanavyofanya hiyo zinaaaa, mpaka ma single tunabaki kushangaaa.

iii. Kujenga mapenzi, huruma na ushirikiano katika familia
HAPANA.
Ni mara ngapi umesikia na kushuhudia ufisadi na dhuluma kwenye ndoa?

iv. Kukuza uhusiano na udugu katika jamii
HAPANA
Hawa watu ni hatari kwa ustawi wako.
Waendekezeee tu ndipo utakaponielewa.

v. Kukilea kizazi katika maadili
HAPANA
Wanavyochepuka hivi wanandoa kwa wanandoa, unazungumzi maadili gani hayo?

vi. Kumuendeleza mwanaadamu kiuchumi
Kwani hujui ile mnapata utajiri tu na talaka hapohapo.
Wanawake wa sasa unawajua vizuri wewe kwenye swala la mali?

"" Athari (madhara) ya kutokuoa
Kuenea kwa magonjwa ya zinaa mfano, maambukizi ya UKIMWI. ""

Ukimwi ulivyoingia miaka ya 2000 hivi unajua kuwa Wanandoa ndio waliokufa balaaa ndugu?

I STAND TO BE CORRECTED ila kwasasa NDOA SIO ISHUU KABISAAAAA.

#YNWA
 
 dr

Cc;dronedrake pita hapa
 
Back
Top Bottom