Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo photoshop shemeji. Ni huyu hapa chini. Naona alizidishiwa tu ‍♂️‍♂️‍♂️...
79522150fef7ea8e6da03355fba9c532.jpg
33f744db5a570bba43c67a85d7498c22.jpg
Yani huyu hata avae gunia lazima lionekane lol!
Wanaume mnamitihani
 
OK. Ni vizuri kujua haya mambo mkuu. Leo hii mahesabu ya biashara ya nyanya yakinigomea nakuletea unaniangalizia. Nikiwa na wazo la ujasiriamali naenda kwa Mark Msue. Nikikwama kwenye Forex nakimbilia kwa Mzee wa Liva. Ufugaji wa ng'ombe na kuku natimkia kwa Mpare...Ndiyo faida ya haya mambo ya mtandaoni.

Amekuwa akiniulizia mara kwa mara kuhusu afya ya mama na sikuwahi kufikiri kuwa yuko pande hizo. Na kwa jinsi alivyo simpo, ucheshi na utani hata sikuwazia. Nimefurahi kulijua hili...
Kwa jinsi anavyo jali,hakika Mungu atamfikisha mbali sana.Akiuliza hali ya mgonjwa hadi unahisi mtu aliye kujulia ni mtu wa karibu sana kwenye familia.Carba na Shimba mkiniulizia hali baba,machozi yananitokaga sana,maana nina watu niliozaliwa nao ni zaidi ya mwaka hawajawahi kuulizia hali.Mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom