Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana,embu nionyeshe
Huu apa
tapatalk_1503954972672.jpeg
 
Hayo ni mawazo yako you're entitled to them and I beg to differ with you. Kama hawakereketwi na yanayoandikwa humu basi wasingetoa kauli fyongo ya kutaka mashetani washuke na kuifunga mitandao yote nchini na waheshimiwa sana wasingeona umuhimu wa kuingia humu na kusoma yanayoandikwa. Hunijui hata chembe alikudanganya nani ninapoandika huwa na jazba? Wacha kujifanya unanifahamu.

. Ngoja nijaribu kuihamishia jukwaa husika.

NB: Unaweza kuwa na hoja ya muhimu sana kuliko hoja zote zilizowahi kutolewa hapa duniani lakini kama unatumia nguvu kupita kiasi, unatumia lugha yenye ukakasi...watu wanaweza wasiipe uzito unaostahili hoja yako. Kuna mtu mmoja ana hoja nzuri mno lakini hoja zake wakati mwingine zinapotelea hewani kutokana na mihemko, matusi na jazba...
 
Back
Top Bottom