Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,675
12,305
Habari za asubuhi ya leo?

Naandika kwa masikitiko makubwa.

Jirani yangu hapa kwenye kota za Saruji Tanga amefiwa na mtoto wake wa kiume wa form four aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari ya Maweni kisa ni UZEMBE wa Madaktari na Manesi wa Hospitali ya Mkoa Bombo.

Mgonjwa alifikishwa Jumanne akiwa na upungufu mkubwa wa damu (damu 2) akawekewa damu akiwa mapokezi emergency baadaye akapelekwa Wodini na ndugu kuzuiwa kulala na mgonjwa wao. (Kwanini ndugu wa mgonjwa wazuiliwe kulala na mgonjwa wao huku mgonjwa mwe nyewe akiwa hajitambui kwa lolote)?

Pia kuna dawa zilinunuliwa nje ya hospitali nazo hakupewa kijana wa watu hadi amekufa.

Jumatano usiku majira ya saa 7 tarehe 18/19 kijana akafariki kutokana na kutoongezewa damu wala kupewa dawa.

Mwili bado upo mochwari kusubiria taratibu za kusafirisha kwenda Morogoro kwa mazishi hapo kesho.

Niwaombe kwa dhati kabisa Waziri wa Afya na timu yake kufanya uchunguzi wa kifo na kuwachukulia hatua Madaktari na Manesi wazembe sana wa Hospitali ya Bombo.

Yaani baada ya kuona hali yake mbaya wakazuga kumwekea oksijeni ambayo ilisababisha mishipa ya masikio na ngoma kupasuka na kuvujisha damu.

Yaani mtu ana upungufu wa damu uliosababishwa na malaria + UTI wao wanamwekea oksijeni ndio udaktari wa wapi?

Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine.

Familia imesema nao watatumia njia za asili kuwafikia wahusika.

Majibu ya Serikali soma hapa: Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi
 
Habari za asubuhi ya leo?

Naandika kwa Masikitiko makubwa.
Jirani yangu hapa kwenye kota za Saruji Tanga amefiwa na mtoto wake wa kiume wa form four Maweni sekondari kisa ni UZEMBE wa madaktari na manesi wa hospitali ya mkoa Bombo.
Mgonjwa alifikishwa Jumanne akiwa na upungufu mkubwa wa damu,(damu 2) akawekewa damu akiwa mapokezi emergency baadae akapelekwa wodini na ndugu kuzuiwa kulala na mgonjwa wao.(Kwanini ndugu wa mgonjwa wazuiliwe kulala na mgonjwa wao huku mgonjwa mwe nyewe akiwa hajitambui kwa lolote)??

Pia kuna dawa zilinunuliwa nje ya hospitali nazo hakupewa kijana wa watu hadi amekufa.

Jumatano usiku majira ya saa 7 tarehe 18/19 kijana akafariki kutokana na kutoongezewa damu wala kupewa dawa.

Mwili bado upo mochwari kusubiria taratibu za kusafirisha kwenda Morogoro kwa mazishi hapo kesho.

Niwaombe kwa dhati kabisa waziri wa afya na timu yake kufanya uchunguzi wa kifo na kuwachukulia hatua madaktari na manesi wazembe sana wa Bombo hospitali.

Yaani baada ya kuona hali yake mbaya wakazuga kumwekea oksijeni ambayo ilisababisha mishipa ya masikio na ngoma kupasuka na kuvujisha damu.

Yaani mtu ana upungufu wa damu uliosababishwa na malaria + UTI wao wanamwekea oksijeni ndio udaktari wa wapi??

Ina umiza sana watu kutothamini uhai wa wengine.

Familia imesema nao watatumia njia za asili kuwafikia wahusika.
TAJA MADAKTARI NA MANESI WALIOMHUDUMIA...HAPO NDIPO PA KUANZIA
 
Poleni mno wafiwa wote,Kuna uzi mwingine humu ukizungumzia issue kama hii, tusilalame ,dawa ni kufanya push back kwa lugha wanayoweza kuisikiliza na sio kulalama humu,nchi hii ni shithole na hakuna mechanism ya kuchukua license ya mhusika/wahusika ili wasiweze tena kufanya kazi hii, familia u siuchukue ule mwili hadi pathology post-mortem ifanyike,na ifanywe na aliye nje ya hospital ya bombo, familia ihamie kwa home ya suspect doctor aliyezembea na kuweka camp pale,hii itampa bad publicity na watu wengi watamjua kuwa ni doctor muuaji, kule kwingine duniani, nyumba/gari ya wahusika ingeshakua majivu muda huu
 
Malalamiko dhidi ya wataalam wa afya yatazamwe.

Uzuri ni kwamba Hospitali ya Bombo ipo ndani ya Jimbo la Mbunge na Waziri wa Afya Oddo Ummy Mwalimu

Mh. Ummy na hili ukalitizame kwa ukaribu. Kaada ya Afya imeingiliwa, imeingiliwa eewh...(In Samia's voice)
 
Wanaoongoza hii nchi wasipokuwa makini watafikiwa na tukio ambalo litaweka historia milele.

Kuishi kwa kimazoea kuwa wananchi ni 'wanyonge' na 'wapole' ipo siku watu watacharuka na hakuna litakoloweza kuwazuia.

Malalamiko yamekuwa mengi mno bila ishara yeyote ya kutatuliwa.

Poleni kwa wafiwa, Mungu awape moyo wa subira.
 
Habari za asubuhi ya leo?

Naandika kwa Masikitiko makubwa.
Jirani yangu hapa kwenye kota za Saruji Tanga amefiwa na mtoto wake wa kiume wa form four Maweni sekondari kisa ni UZEMBE wa madaktari na manesi wa hospitali ya mkoa Bombo.
Mgonjwa alifikishwa Jumanne akiwa na upungufu mkubwa wa damu,(damu 2) akawekewa damu akiwa mapokezi emergency baadae akapelekwa wodini na ndugu kuzuiwa kulala na mgonjwa wao.(Kwanini ndugu wa mgonjwa wazuiliwe kulala na mgonjwa wao huku mgonjwa mwe nyewe akiwa hajitambui kwa lolote)??

Pia kuna dawa zilinunuliwa nje ya hospitali nazo hakupewa kijana wa watu hadi amekufa.

Jumatano usiku majira ya saa 7 tarehe 18/19 kijana akafariki kutokana na kutoongezewa damu wala kupewa dawa.

Mwili bado upo mochwari kusubiria taratibu za kusafirisha kwenda Morogoro kwa mazishi hapo kesho.

Niwaombe kwa dhati kabisa waziri wa afya na timu yake kufanya uchunguzi wa kifo na kuwachukulia hatua madaktari na manesi wazembe sana wa Bombo hospitali.

Yaani baada ya kuona hali yake mbaya wakazuga kumwekea oksijeni ambayo ilisababisha mishipa ya masikio na ngoma kupasuka na kuvujisha damu.

Yaani mtu ana upungufu wa damu uliosababishwa na malaria + UTI wao wanamwekea oksijeni ndio udaktari wa wapi??

Ina umiza sana watu kutothamini uhai wa wengine.

Familia imesema nao watatumia njia za asili kuwafikia wahusika.
Poleni wafiwa.
Lakini naona mleta mada hujui chochote kuhusu afya na tiba, umekurupuka.

Kuweka sawa tu, kwa uchache, kile ambacho wengi wetu kwa uelewa wa kawaida sana wa sisi wananchi.

1. Hakuna Hospitali makini kwa sasa itakuruhusu ulale na mgonjwa wako ndani ya wodi. Hilo ni kwa faida ya mgonjwa.

2. Mgonjwa yoyote akiwa kwenye hali mbaya, ngumu au kupungukiwa damu uwezo wake wa kupumua mwenyewe au kuvuta oksijeni unakwenda chini kupitiza, hivyo suala la kuwekewa Oksijeni ni muhimu na lazima.

3. Mgonjwa akishapungukiwa sana damu ana hatari zingine pia za kushindwa kugandisha damu, hivyo anaweza kuvujisha damu kupitia mdomo, pua, masikio nk.

4. Mgonjwa mwenye damu 2 huku akiwa na matatizo mengine yaliyochangia hilo kama Malaria kali, uwezekano wa kutoboa huwa ni mdogo sana, safari ya kufariki huenda isiepukike.

Kikubwa mleta mada unasema mgonjwa alipokelewa kitengo cha dharula na hapo akaongezewa damu, kisha akalazwa wodini, na wodini ndugu hawakuruhusiwa kulala na mgonjwa na mwisho mgonjwa aliwekwa kwenye oksijeni hali ilipokuwa mbaya, basi hapo Hospitali ya Bombo ilitimiza wajibu wake ipasavyo. Tuwape pongezi kuliko kuwalaumu.
 
Wala usiwaombe hao mawaziri, ni survival kwenye hii nchi, una hela, ukiumwa na kutegemea serikali utakufa kama Panya na hakuna anayejalk.
 
Poleni wafiwa.
Lakini naona mleta mada hujui chochote kuhusu afya na tiba, umekurupuka.

Kuweka sawa tu, kwa uchache, kile ambacho wengi wetu kwa uelewa wa kawaida sana wa sisi wananchi.

1. Hakuna Hospitali makini kwa sasa itakuruhusu ulale na mgonjwa wako ndani ya wodi. Hilo ni kwa faida ya mgonjwa.

2. Mgonjwa yoyote akiwa kwenye hali mbaya, ngumu au kupungukiwa damu uwezo wake wa kupumua mwenyewe au kuvuta oksijeni unakwenda chini kupitiza, hivyo suala la kuwekewa Oksijeni ni muhimu na lazima.

3. Mgonjwa akishapungukiwa sana damu ana hatari zingine pia za kushindwa kugandisha damu, hivyo anaweza kuvujisha damu kupitia mdomo, pua, masikio nk.

4. Mgonjwa mwenye damu 2 huku akiwa na matatizo mengine yaliyochangia hilo kama Malaria kali, uwezekano wa kutoboa huwa ni mdogo sana, safari ya kufariki huenda isiepukike.

Kikubwa mleta mada unasema mgonjwa alipokelewa kitengo cha dharula na hapo akaongezewa damu, kisha akalazwa wodini, na wodini ndugu hawakuruhusiwa kulala na mgonjwa na mwisho mgonjwa aliwekwa kwenye oksijeni hali ilipokuwa mbaya, basi hapo Hospitali ya Bombo ilitimiza wajibu wake ipasavyo. Tuwape pongezi kuliko kuwalaumu.
Na dawa walizonunua ndugu wa marehemu mbona hakupewa mgonjwa?
Au wewe ndio mhusika?
Kwenye hiyo familia kuna medical doctor naye ameona uzembe waliofanya hao unaowatetea.
 
Poleni wafiwa.
Lakini naona mleta mada hujui chochote kuhusu afya na tiba, umekurupuka.

Kuweka sawa tu, kwa uchache, kile ambacho wengi wetu kwa uelewa wa kawaida sana wa sisi wananchi.

1. Hakuna Hospitali makini kwa sasa itakuruhusu ulale na mgonjwa wako ndani ya wodi. Hilo ni kwa faida ya mgonjwa.

2. Mgonjwa yoyote akiwa kwenye hali mbaya, ngumu au kupungukiwa damu uwezo wake wa kupumua mwenyewe au kuvuta oksijeni unakwenda chini kupitiza, hivyo suala la kuwekewa Oksijeni ni muhimu na lazima.

3. Mgonjwa akishapungukiwa sana damu ana hatari zingine pia za kushindwa kugandisha damu, hivyo anaweza kuvujisha damu kupitia mdomo, pua, masikio nk.

4. Mgonjwa mwenye damu 2 huku akiwa na matatizo mengine yaliyochangia hilo kama Malaria kali, uwezekano wa kutoboa huwa ni mdogo sana, safari ya kufariki huenda isiepukike.

Kikubwa mleta mada unasema mgonjwa alipokelewa kitengo cha dharula na hapo akaongezewa damu, kisha akalazwa wodini, na wodini ndugu hawakuruhusiwa kulala na mgonjwa na mwisho mgonjwa aliwekwa kwenye oksijeni hali ilipokuwa mbaya, basi hapo Hospitali ya Bombo ilitimiza wajibu wake ipasavyo. Tuwape pongezi kuliko kuwalaumu.
elimu nzuri hii! sema na wewe usiwe judgemental 'kukurupuka?'.
 
Malaria Kali + UTI sugu + Upungufu wa Damu = KIFO.

Tena hapo usikute alishapata complications zingine nyingi kama Figo Kufeli nk.

Suala la kutopewa dawa walizonunua ndugu ndilo linahitaji maelezo.

Ila kimsingi dogo alikuwa anaumwa sanaaaaa.

Ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu tu wagonjwa wa namna hiyo huwa wanatoboa.
 
Back
Top Bottom